Proffesa (@proffe_sa) 's Twitter Profile
Proffesa

@proffe_sa

Akili Mtu Wangu 🫑

Punter wa mapunter

Odss zetu ni bure kabisa ila hatuwezi kukuhakikishia kwamba ni za uhakikaπŸ˜€

kumbuka kubeti kistaarabuπŸ™ƒ

ID: 1617873580020174849

calendar_today24-01-2023 13:15:18

10,10K Tweet

16,16K Followers

3,3K Following

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

UCHAFUZI WA AMANI | SHINYANGA Kituo cha Polisi kimeungua. Kituo cha afya kimeharibiwa. Ofisi za viongozi zimevunjwa. Hizi ni alama za maumivu, lakini pia ni somo kwa taifa. Moto ulioteketeza mali hauwezi kuunguza matumaini.

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

UCHAFUZI WA AMANI | MWANZA Vituo vya mafuta vimeungua. Viwanda vimeharibiwa. Biashara zimesimama. Haya ni majeraha ya taifa, lakini pia ni somo la thamani ya amani. Leo, Mwanza, jiji la Rock City, limesimama tena, likijenga upya kwa bidii na imani. Moto ulioteketeza mali

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

UCHAFUZI WA AMANI | MBEYA Barabara zimeharibika. Maduka yamevunjwa. Ofisi za umma zimeungua. Lakini leo, Uyole na Mbeya yote imesimama tena, watu wake wamerudi kazini, wakijenga, wakitazama mbele. Tulijifunza kupitia maumivu kwamba amani ndiyo mtaji wa maendeleo, na bila amani,

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

UCHAFUZI WA AMANI | ARUSHA Vituo vya mafuta vimeungua. Ofisi zimeharibiwa. Biashara zimesimama. Lakini leo, Arusha imesimama tena, kama jiji la hekima, umoja, na matumaini. Watu wake wamejifunza kwamba vurugu haina faida, bali amani ndiyo msingi wa maendeleo na heshima ya

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

π„π‹πˆπŒπ” ππŽπ‘π€ πŠπ–π€ πŠπˆπ‹π€ πŒπ“πŽπ“πŽ Miaka minne iliyopita Mama ameajiri walimu wapya 39,000. Ndani ya siku 100, anaanza kwa kuajiri walimu 7,000. #Siku100zaSamia #MamaYukoKazini

π„π‹πˆπŒπ” ππŽπ‘π€ πŠπ–π€ πŠπˆπ‹π€ πŒπ“πŽπ“πŽ

Miaka minne iliyopita Mama ameajiri walimu wapya 39,000.

Ndani ya siku 100, anaanza kwa kuajiri walimu 7,000.

#Siku100zaSamia
#MamaYukoKazini