Hon: Jumanne Kishimba (@mh_kishimba) 's Twitter Profile
Hon: Jumanne Kishimba

@mh_kishimba

Politician|Member of Parliament, Kahama Urban 2016-2020|2020-2025|Farmer|Busness man.

ID: 1590296146014081024

calendar_today09-11-2022 10:52:18

581 Tweet

536 Followers

694 Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid Al Adha. Tusheherekee siku hii njema kwa amani, umoja na upendo, tukiwakumbuka wale wote wenye uhitaji zaidi. Tutumie siku hii pia kuendelea kumuomba Mwenyezi Mungu azipokee ibada zetu, atusamehe makosa yetu, atuongoze katika mema, kweli na

Clouds Media (@cloudsmedialive) 's Twitter Profile Photo

UTEUZI: Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama ifuatavyo: 1) Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Jaji (Mst) Mbarouk ameteuliwa kuwa

UTEUZI:
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kama ifuatavyo:

1) Amemteua Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Jaji (Mst) Mbarouk ameteuliwa kuwa
President Biden (@potus) 's Twitter Profile Photo

Our colleges are stronger when they are racially diverse. And America is stronger because we are tapping into our full range of talent. Today's Supreme Court decision is not the last word.

Hon: Jumanne Kishimba (@mh_kishimba) 's Twitter Profile Photo

Hakika MUNGU ni mkuu , yeye ni mmiliki wa kila kitu pamoja na pumzi inayotupa uhai. Wewe ni yule yule wa jana leo na hata milele, asante kwa zawadi hii ya uzima. Ukamsimamie kila asomae ujumbe huu.

Hakika MUNGU ni mkuu , yeye ni mmiliki wa kila kitu pamoja na pumzi inayotupa uhai.
Wewe ni yule yule wa jana leo na hata milele, asante kwa zawadi hii ya uzima. Ukamsimamie kila asomae ujumbe huu.
Ummy Mwalimu MP (@ummymwalimu) 's Twitter Profile Photo

Upimaji wa Afya ni muhimu sana. Maradhi mengi yakigunduliwa mapema huwa rahisi kutibu na kuzuia madhara. Ndugu zangu wa Tanga tumewaletea fursa hii ya kupima Afya yako bure. Karibuni Viwanja vya Sekondari Usagara Tar 21 - 25 Agosti kuanzia saa 2 asubuhi Dr Isaac Maro

Upimaji wa Afya ni muhimu sana. Maradhi mengi yakigunduliwa mapema huwa rahisi kutibu na kuzuia madhara.

Ndugu zangu wa Tanga tumewaletea fursa hii ya kupima Afya yako bure. Karibuni Viwanja vya Sekondari Usagara Tar 21 - 25 Agosti kuanzia saa 2 asubuhi <a href="/DrIsaacMaro/">Dr Isaac Maro</a>
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

ACHENI UZUSHI. Ndege ya Rais ipo Tanzania. HAIJAKAMATWA. Agosti 16, 2023 ilikwenda Luanda, Angola kumpeleka Makamu wa Rais Mhe. Dr. Philip Isdor Mpango ambaye ameshiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu na amerejea Agosti 18, 2023.

ACHENI UZUSHI.
Ndege ya Rais ipo Tanzania. HAIJAKAMATWA.

Agosti 16, 2023 ilikwenda Luanda, Angola kumpeleka Makamu wa Rais Mhe. <a href="/dr_mpango/">Dr. Philip Isdor Mpango</a> ambaye ameshiriki Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> na amerejea Agosti 18, 2023.
MR BEN (@eric__bernard) 's Twitter Profile Photo

MBUNGE UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA KATA YA MAWENI. Mbunge wa Tanga Mjini Mhe Ummy Mwalimu MP Leo amefanya ziara Kata ya Maweni pamoja na kufanya mkutano wa hadhara katika kata hiyo kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM katika katika Kata hiyo na Jimbo la Tanga Mjini.

MBUNGE UMMY MWALIMU AFANYA ZIARA KATA YA MAWENI.

Mbunge wa Tanga Mjini Mhe <a href="/ummymwalimu/">Ummy Mwalimu MP</a> Leo amefanya ziara Kata ya Maweni pamoja na kufanya mkutano wa hadhara katika kata hiyo kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi wa CCM katika katika Kata hiyo na Jimbo la Tanga Mjini.
Hon: Jumanne Kishimba (@mh_kishimba) 's Twitter Profile Photo

Siasa ni maisha na hugusa nyanja zote za maisha. 1.Siasa kwenywe uchumi 2.Siasa kwenywe elimu 3.Siasa kwenywe jamii 4.Siasa kwenywe Dini nk

Joe Biden (@joebiden) 's Twitter Profile Photo

The Inflation Reduction Act is delivering for the American people. It's lowering costs for families, restoring fairness to the tax code, creating good-paying jobs here in America, addressing the existential threat of the climate crisis, and more.

Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Watanzania tukatae mipango yoyote ya kutugombanisha na kuvuruga tunu ya amani. Asante Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutukumbusha.

Wizara ya Madini (@madinitanzania) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa anatarajiwa kufungua Maonesho ya Madini na Fursa Uwekezaji Mkoa wa Lindi Kauli mbiu ya maonesho hayo ni "Wekeza Lindi kwa Ukuaji wa Uchumi wa Maendeleo ya Jamii" #LindiKuchele Thamani Madini

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Shada la maua kutoka kwa mtoto Evynne Anicet Maganya (9) Mkazi wa Arusha, wakati alipowasili katika Viwanja vya Mfuko wa Wastaafu Mkoani Arusha

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Ban Ki-Moon mara baada ya mazungumzo kando ya Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Africa (Africa Climate Summit 23) unaofanyika katika Jiji la Nairobi Nchini Kenya