mr true๐Ÿ˜œ (@mbwilo225) 's Twitter Profile
mr true๐Ÿ˜œ

@mbwilo225

ID: 3006975926

linkhttp://www.adityaedu.net calendar_today01-02-2015 16:44:36

84 Tweet

63 Followers

950 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

CENTRAL POLICE DAR ES SALAAM wamempigia simu WAKILI MSOMI PETER MADELEKA kuwa ZCO FAUSTINE MAFWELE anamuhitaji wakili kwaajili ya MASHAULIANO. Dunia inatakiwa iuone wito huu. Naomba REPOST 200, kisha sambaza ujumbe huu kila kona. REPOST 200.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

CENTRAL POLICE DAR ES SALAAM wamempigia simu WAKILI MSOMI PETER MADELEKA kuwa ZCO FAUSTINE MAFWELE anamuhitaji wakili kwaajili ya MASHAULIANO.

Dunia inatakiwa iuone wito huu. Naomba REPOST 200, kisha sambaza ujumbe huu kila kona.

REPOST 200.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Leo MH.LISSU ameenda kurudisha Fomu yake ya kugombea ngazi ya MWENYEKITI wa CHADEMA Taifa. Cha kushangaza wengi ni mtoko wake wa kuvalia BULLET PROOF, anafanya hivi kujihami dhidi ya watu wabaya walioshindwa mara ya kwanza kumuua. Ukingโ€™atwa na Nyoka hata jani likikugusa lazima

Leo MH.LISSU ameenda kurudisha Fomu yake ya kugombea ngazi ya MWENYEKITI wa CHADEMA Taifa.

Cha kushangaza wengi ni mtoko wake wa kuvalia BULLET PROOF, anafanya hivi kujihami dhidi ya watu wabaya walioshindwa mara ya kwanza kumuua.

Ukingโ€™atwa na Nyoka hata jani likikugusa lazima
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.

Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Wilson E.Tarimo (@wilsonmawala) 's Twitter Profile Photo

Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapaโœŠโœŠ ๐Ÿ‘‡ Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.

Wakati WAJUMBE wanapiga kura Mlimani Cty, Wakunjangumi tupige kura hapaโœŠโœŠ
๐Ÿ‘‡
Retweet kwa LISSU like kwa Mbowe.