Mbise Frank
@mbise11
#Mshauri πͺπͺ| at MUHAS |Mental Health Advocate | e-mail: [email protected] | Guardian Unconditional Love Foundation π« | co-founder SHAMJOR Medics
ID: 918032251409129472
11-10-2017 08:35:19
7,7K Tweet
2,2K Followers
4,4K Following
Dunia haitanyamaza, kama mnakamata watu na kuwapa kesi za uongo mjue Dunia ni kijiji na haitakaa kimya. Mnaweza kutumia mabavu hapa ndani na kucontrol vyombo vya habari lakini wengine watasema na watu watajua uovu wenu. Asante STEPHEN LETOO
"Kamati Kuu ya Chama itaketi tarehe 03 Juni 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa." Mhe. John Heche
Dada Maria Sarungi Tsehai shikamooππ§ mimi kijana wako nakupenda. Ahsante
Updates Mpaka sasa JAPHET MATARRA amechangiwa TZS. 742,000, tumefikia nusu ya lengo la kupata TZS. 1.5M ili kuwezesha MATARRA afanyiwe matibabu ya Upasuaji kesho.!!! WASIOJULIKANA wamemvunja taya mara 2, Anapitia maumivu makali sana..!! Halopesa: 0627422184 Jina: SAMWELI MATARA.