Maoudoudou (@maoudoudou) 's Twitter Profile
Maoudoudou

@maoudoudou

Faith in God includes faith in his timing.

ID: 1371174393745924096

calendar_today14-03-2021 19:02:33

3,3K Tweet

991 Followers

1,1K Following

RICH DONKEY (@mwesigamkulasi) 's Twitter Profile Photo

Kazi Inaendelea wanangu TSHRT ndio izo bei pw.... Kama hiyo ni 17000/=.... Ila ukiwa na plain na chapa kwa 5000/=... 0719867122 MIRIAM💜 @gracemella95 @ClaraMogul #khali Ben🇹🇿  @tillya_04 Madenge

Kazi Inaendelea wanangu TSHRT ndio izo bei pw.... Kama hiyo ni 17000/=.... Ila ukiwa na plain na chapa kwa 5000/=... 0719867122 <a href="/MiriamMkanaka/">MIRIAM💜</a> @gracemella95 @ClaraMogul <a href="/issa_255/">#khali</a> <a href="/BenKatwiga/">Ben🇹🇿 </a> @tillya_04 <a href="/rollymsouth/">Madenge</a>
Wazalendo_Tv (@wazalendo_media) 's Twitter Profile Photo

Chaki ni moja ya zana ya kundishia ambayo husaidia kwa asilimia kubwa kwa walimu katika ufundishaji na kusaidia wanafunzi kuelewa vizuri na hivyo kuchochea ufaulu katika masomo yao. KINDLY #RETWEET THIS🙏🙏🙏 NB: folo @tz_2019

Home_of_Aswers (@home_of_answers) 's Twitter Profile Photo

Vile ambavyo tayar nimeomba retweet kama wote wakiretweet ntakuwa mshindi👏😁 Tatzo sasa ni mtu kukupa iyo retweet🙌🏼 Eniwei chapeni retweet pinned tweet yangu 🙏

Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Leo simba inacheza mwambieni admin wa @Ruvu_shootingFc ntadeal nae mimi leo ndo atajuwa ajuwi lazima atulie 😃😃🔥🔥🔥

Rubanzibwa Ndyamukama (@joshuasultanpt) 's Twitter Profile Photo

#FahamuAfya Leo ni siku ya Mguu Kifundo Duniani (Clubfoot) 👉Matibabu ya mguu kifundo yanapatikana na yana matokeo makubwa yakianza mapema 👉Mguu kifundo ukipuuzwa hupelekea ulemavu wa kudumu kwa mtoto 👉Matibabu huchukua kuanzia wiki 4-6 na zaidi #WorldClubfootDay

#FahamuAfya
Leo ni siku ya Mguu Kifundo Duniani (Clubfoot)
👉Matibabu ya mguu kifundo yanapatikana na yana matokeo makubwa yakianza mapema
👉Mguu kifundo ukipuuzwa hupelekea ulemavu wa kudumu kwa mtoto 
👉Matibabu huchukua kuanzia wiki 4-6 na zaidi
 #WorldClubfootDay
Adventure-360 (@adventure_36) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya simba tulikuwa tunaomba muweke namba au account maalum ambayo mashabiki tuweze kutoa rambi rambi kwa Chama kwa kufiwa na mke wake Naomba mnisaidie kuretweet waione wahusika 😎😎

Maoudoudou (@maoudoudou) 's Twitter Profile Photo

Muombee adui yako aishi siku nyingi ili utakapo barikiwa ajionee kwa macho hamna haja kabisa afe kabla hajaona baraka ambazo mungu ameweka mbele yako...j2 njema ♥️♥️