Kidanya (@kidanyandelike) 's Twitter Profile
Kidanya

@kidanyandelike

ID: 3302677631

calendar_today29-05-2015 11:20:22

7,7K Tweet

654 Followers

845 Following

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hii ni siasa ya kujilinda, si ya kujenga. Utii na hofu vimetangulizwa kuliko fikra, na ustaafu umegeuzwa kuwa mapambo ya kiutawala. Kinachoitwa umoja ni hofu ya kupoteza madaraka. Ndani yake, mpasuko upo unanyamazishwa tu. Hali yao ni mbaya sana. DAMU ina sauti kali. Wanaanguka

Hii ni siasa ya kujilinda, si ya kujenga. Utii na hofu vimetangulizwa kuliko fikra, na ustaafu umegeuzwa kuwa mapambo ya kiutawala. Kinachoitwa umoja ni hofu ya kupoteza madaraka. Ndani yake, mpasuko upo unanyamazishwa tu. Hali yao ni mbaya sana. DAMU ina sauti kali. Wanaanguka
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Unauwa maelfu ya watoto wa hili taifa alafu kwa jeuri unauliza wazazi kwanini hawakuwazuia kuandamana.. hiki ni kiburi cha mtu mjinga asiye na chembe ya utu. Samia Must Go Now!!

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Miili ya mamia ya Watanzania iliwekwa ktk frigde za mortuary wakiwa hai..na wengine walizkwa katika makaburi ya halaiki wakiwa hai. Imagine waliteseka kiasi gani kabla hawajafa? Hatutasahau Octoba 29! Tunataka uwajibikaji.

CyriloLeo (@leodigardcyrilo) 's Twitter Profile Photo

Sema siasa za upinzani miaka ya mbele zitakuja mshukuru Lissu, fikiria eti yeriko Nae alikuwa jasusi wa chama chini ya mwamba 🤣🤣

INDICA 360🥇 (@abraha1brighton) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu Watanzania Tuchukue Hata Dakika Moja Kunuombea Mh Lissu Mungu Amtie nguvu Mungu ampe ujasiri zaidi Maana kitu anacho kipambania kinamanufaa ya Watanzania wote Tumuombee mzeee wetu

kamamaa (@msbrown_tz) 's Twitter Profile Photo

Guys is Corona back?! 👀 mafua mpaka homa + baridi, kichwa kinauma na macho yanawasha yanatoa machozi involuntary na kuuma 🥺 at the first nilihisi ni mafua ya kawaida ninywe “Toff Plus” lakini weeh!! hali inazidi kuwa mbaya 🤦🏽‍♀️

Jenerali Ulimwengu (@raiyajenerali) 's Twitter Profile Photo

Sometimes we find entertainment in the Tundu Lissu case. Such as when Lissu chided the prosecution for failing to protect their own witness after all the efforts to hide his identity! On other occasions it's just humour, eg when a witness said he didn't know the charge against

Bilbo Baggins (@barga1n) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese Hivi mnajua Dpp akili hana wala hao mapolisi.. Sasa kama mashahidi wanataja walipotoka, kazi na vijiwe vyao siku waliyokamatwa na vijiweni wanafahamika kwa hayo majina na picha zao sasa wanawaweka kwenye hilo jeneza yanini??.. Hii nchi ina Matutusa wengi mno 💔

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kuna AMANI kweli ? Mnatazamana KIMACHALE MACHALE sana.😂😂😂😂😂Mmenifanya nikumbe CC yetu wakati ule tunamtimua Kitila Mkumbo kwa u snitch wake!! Hapo hata chafya inaweza kutiliwa mashaka😂😂😂😂 Sisi tunashinda Mahakamani lakini nyie mnashinda na UCHUNGU na HATIA wakati

Kuna AMANI kweli ? Mnatazamana KIMACHALE MACHALE sana.😂😂😂😂😂Mmenifanya nikumbe CC yetu wakati ule tunamtimua Kitila Mkumbo kwa  u snitch wake!! 

Hapo hata chafya inaweza kutiliwa mashaka😂😂😂😂 Sisi tunashinda Mahakamani lakini nyie mnashinda na UCHUNGU na HATIA wakati
Thabit Jacob, PhD (@thabitsenior) 's Twitter Profile Photo

Yeah, very caring and compassionate that she brutally left many kids fatherless and motherless, plus countless widows, widowers, and orphans just six months ago. Hongera