Jacob J Saro (@jacobjsaro1) 's Twitter Profile
Jacob J Saro

@jacobjsaro1

Re-presenting JESUS CHRIST to this generation

#TwbfMinister

#Nayenenoalifanyikamwili

John 1:14

ID: 1076068135864811522

calendar_today21-12-2018 10:53:30

3,3K Tweet

1,1K Followers

483 Following

Msafiri, Erick Charles (@msaferick) 's Twitter Profile Photo

Yesu eeh, nakupenda,🎶 Bwana Yesu eeh nakupenda,🎶 Kama vile wewe ulivyonipenda kwanza, nakupenda,🎶 Kisha tena ukautoa uhai wako, nakupenda.🎶 Yesuuuuuu uh! 🔥

Mwl.Zephania kapinga⭐️ (@mwlzkapinga) 's Twitter Profile Photo

OMBA ACHA KUJIONA HUWEZI. Maombi ni mazungumzo na Mungu. Unaweza kumwambia Yesu unachotaka, unachohisi, na kuuliza mwongozo. Huna haja ya maneno ya kifahari; moyo wa unyofu unatosha.

OMBA ACHA KUJIONA HUWEZI.

Maombi ni mazungumzo na Mungu. Unaweza kumwambia Yesu unachotaka, unachohisi, na kuuliza mwongozo. Huna haja ya maneno ya kifahari; moyo wa unyofu unatosha.
Jacob J Saro (@jacobjsaro1) 's Twitter Profile Photo

YESU: Wala hakuna mtu atakayewapokonya kwenye mkono wangu. MHUBIRI: (Kwa sauti ya juu) Inawezekana uliokoka lakini hauko tena kwa Yesu, shetani amekuchukua. Oh ninakwambia Jehanamu inakusubiri. YESU: 🤔🤔🤔 —Global Family Gatherings "God's Standards"

YESU: Wala hakuna mtu atakayewapokonya kwenye mkono wangu.
MHUBIRI: (Kwa sauti ya juu) Inawezekana uliokoka lakini hauko tena kwa Yesu,  shetani amekuchukua. Oh ninakwambia Jehanamu inakusubiri. 
YESU: 🤔🤔🤔

—Global Family Gatherings
"God's Standards"
Jacob J Saro (@jacobjsaro1) 's Twitter Profile Photo

Mungu ni Pendo "Apenda watu, Mungu ni Pendo atupenda, waamini kujua vile Mungu alivyo tupenda ina tupa sababu ya kumtumikia yeye.

Mungu ni Pendo "Apenda watu, Mungu ni Pendo atupenda, waamini kujua vile Mungu alivyo tupenda ina tupa sababu ya kumtumikia yeye.
Jacob J Saro (@jacobjsaro1) 's Twitter Profile Photo

Mtu pasipo Maisha ya Mungu ndani yake ni Giza, ukiwa, utupu " mtu huyo ni mfu " Ana hitaji kuiamini injili ya Kristo awe mzima

Mtu pasipo Maisha ya Mungu ndani yake ni Giza, ukiwa, utupu " mtu huyo ni mfu " Ana hitaji kuiamini injili ya Kristo awe mzima
Msafiri, Erick Charles (@msaferick) 's Twitter Profile Photo

Moyo wangu, moyo wangu, 🎶 Sifa mpe Yesu🎶🎵 Moyo wangu, moyo wangu, 🎶 Sifa mpe Yesu🎶🎵 🎶🎵🎤🎧 Hallelujah!

CoCo🍫💦 (@yourfrenchfry) 's Twitter Profile Photo

"Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake..." My whole childhood nlikua najua "mpanzi" anayezungumziwa ni huyu. It just blew my mind 😂🤭

"Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake..."

My whole childhood nlikua najua "mpanzi" anayezungumziwa ni huyu. It just blew my mind 😂🤭
Mwl.Zephania kapinga⭐️ (@mwlzkapinga) 's Twitter Profile Photo

Waebrania 12:15 mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo.

Waebrania 12:15
mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo.
Jacob J Saro (@jacobjsaro1) 's Twitter Profile Photo

Injili haibadilishi watu wabaya kuwa wazuri; inawafufua watu waliokufa na kuwafanya wawe hai. Hiyo ndiyo tofauti kati ya injili ya Yesu Kristo na dini nyingine zote duniani.

Injili haibadilishi watu wabaya kuwa wazuri; inawafufua watu waliokufa na kuwafanya wawe hai. Hiyo ndiyo tofauti kati ya injili ya Yesu Kristo na dini nyingine zote duniani.
Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Watu hubadilika na hawatoi taarifa. Tapeli wa jana anaweza kukuambia ukweli utakaokuokoa leo. Kung’ang’ania historia ya mtu kutakukosesha mengi. Muda na matukio hubadisha watu.

Mkanaani 🇮🇱🇹🇿 (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

YESU ni mwanadamu asilimia 100% kwasababu ni 1.Yeye ndiye aliyekuja kumdhihirisha MUNGU katika mwili alikuja kutujulisha kutufahamisha MUNGU katika mwili 2.Alitupatanisha na MUNGU kupitia mwili wake kwa njia ya damu yake No one can do this except GOD in fresh body 🙌