Ismail katanga™️ (@ismailkatanga) 's Twitter Profile
Ismail katanga™️

@ismailkatanga

Quietness + Confidence= Success💯💪

ID: 802274077

calendar_today04-09-2012 11:29:47

18,18K Tweet

16,16K Followers

10,10K Following

mr vito (@based_culture01) 's Twitter Profile Photo

there is a yoruba proverb that says 'when a pouched rat has grown old, it suckles on it's child's breast' take care of your parents.

Mark J. Mwandosya (@markmwandosya) 's Twitter Profile Photo

A rare and joyous moment. I have met with Mrs Elda Kisyombe Simwaba, my 1957 Standard I teacher at Majengo Primary School,#Mbeya, #Tanzania. Ni furaja iliyoje kukutana na Mwalimu Elda Kisyombe Simwaba. Alinifundisha darasa la kwanza, Shule ya Msingi Majengo, Mbeya mwaka 1957.

A rare and joyous moment. I have met with Mrs Elda Kisyombe Simwaba, my 1957 Standard I teacher at Majengo Primary School,#Mbeya, #Tanzania.

Ni furaja iliyoje  kukutana na  Mwalimu Elda Kisyombe Simwaba. Alinifundisha darasa la kwanza, Shule ya Msingi Majengo, Mbeya mwaka 1957.
MAK Mringo (PhD) (@snrdirector) 's Twitter Profile Photo

Jiji la Dodoma linaanza kuonyesha nuru yake. Sina hakika ni kiasi gani limepangwa ili kupunguza aibu ya makazi yasiyopangwa mijini "squatters". Tukiendelea kuachia miji ipanuke kiholela vijana wetu watakuja kufukua makaburi yetu wasambaze mifupa yetu barabarani kwa hasira.

Jiji la Dodoma linaanza kuonyesha nuru yake. Sina hakika ni kiasi gani limepangwa ili kupunguza aibu ya makazi yasiyopangwa mijini "squatters". Tukiendelea kuachia miji ipanuke kiholela vijana wetu watakuja kufukua makaburi yetu wasambaze mifupa yetu barabarani kwa hasira.
Mark (@samak1233) 's Twitter Profile Photo

The Sahel Report The most developed cities of Africa:1, Adis Ababa Ethiopia 2, pitoria South Africa 3,Nairobi Kenya 4,Kigali Rwanda 5,Dodoma Tanzania 6,Capeverd 7,Windhoek Namibia 8,Cairo Egypt.

𝖎𝖈𝖚𝖋 (@thenameisyusuph) 's Twitter Profile Photo

Ismail katanga™️ mwana anaona maigizo wakati dom inabadilika mbele ya macho yetu na wahusika wakuu ni wabongo. Circle muhimu sana, mpangilio wa dom jiji hata dar haitogusa. Sisi tutakua tunajadili muuza madafu.