
Mtanzania
@frank_lewice
A servant of Christ Jesus, Evangelism office!
ID: 1580565583506071553
13-10-2022 14:27:03
18,18K Tweet
271 Followers
346 Following



Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu anahoji; "Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado wamenizunguka. Halafu mmewaachia. How come? Hii inawezekanaje, hatuta zungumza.."-;

Kwa heshima ya Haki na Mapambano ya kweli ya Mhe. Tundu Antiphas Lissu. I've #Retweet_1000







Dunia haitanyamaza, kama mnakamata watu na kuwapa kesi za uongo mjue Dunia ni kijiji na haitakaa kimya. Mnaweza kutumia mabavu hapa ndani na kucontrol vyombo vya habari lakini wengine watasema na watu watajua uovu wenu. Asante STEPHEN LETOO





Committed to people for money 🤣. Hivi Hawa wajinga watamueleza nani awaelewe? Shortcuts hazijawahi kuleta majibu ya kudumu, Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) . Hongeren Kwa kuendelea kupambania matumbo yenu na kutafuta kipato Kwa namna yoyote mkono uende kinywani 😀!





Heshima uliyo earn Kwa jamii ya WATANZANIA unaipoteza kizembe sana. Kwanini hekima haijakuongoza kunyamazahasa katika hili? This is rubbish brother Peter Madeleka