David Mwakanyamale (@davidvitalis17) 's Twitter Profile
David Mwakanyamale

@davidvitalis17

I believe in God.

ID: 1487329063043837953

calendar_today29-01-2022 07:38:58

762 Tweet

81 Followers

500 Following

Tagato James  (@tagatojtagato) 's Twitter Profile Photo

“Tunahitaji siku chache za kupumzika, kurejesha nguvu kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali. Kuna mambo lazima tuyaboreshe. Tunaenda kucheza na timu inayoshikilia nafasi ya nne ligi ya Msri na ni wapinzani wenye uzoefu mkubwa na mashindano ya Afrika.” Fadlu Davids, kocha Simba SC

“Tunahitaji siku chache za kupumzika, kurejesha nguvu kujiandaa na mchezo wa Robo Fainali. Kuna mambo lazima tuyaboreshe. Tunaenda kucheza na timu inayoshikilia nafasi ya nne ligi ya Msri na ni wapinzani wenye uzoefu mkubwa na mashindano ya Afrika.”

Fadlu Davids, kocha Simba SC
Tagato James  (@tagatojtagato) 's Twitter Profile Photo

“Taratibu tuziache zifuatwe, Lakini huwezi kusema bodi Ijiuzulu. Hata wanaosema wawaambie na viongozi wao, hawastahili kujiuzulu? Vitu vingine vinafanyika kitoto, Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.” Wallace Karia, Rais TFF

“Taratibu tuziache zifuatwe, Lakini huwezi kusema bodi Ijiuzulu. Hata wanaosema wawaambie na viongozi wao, hawastahili kujiuzulu? Vitu vingine vinafanyika kitoto, Kama watu wamechoka kucheza mpira basi wakaendelee na Sinema zao.”

Wallace Karia, Rais TFF
ERNEST B. MAKULILO (EBM) (@ebmscholars) 's Twitter Profile Photo

🛑 The #1 Mistake Immigrants Make in the U.S. 🇺🇸🚨 📌 Are you focusing ONLY on immigration and ignoring your financial future? Many immigrants come to the U.S. for better opportunities, but they make one HUGE mistake: 🚨 They focus only on getting a green card & forget about

🛑 The #1 Mistake Immigrants Make in the U.S. 🇺🇸🚨

📌 Are you focusing ONLY on immigration and ignoring your financial future?

Many immigrants come to the U.S. for better opportunities, but they make one HUGE mistake:

🚨 They focus only on getting a green card & forget about
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

THIIIIIIIISSSSS ISSSSSSS SIIIIIMMBBAAAAAA 🇹🇿✨ The Tanzanian giants have done it!!! ✨ #cafccwithmicky #totalenergiescafcc #nguvumoja 🦁

THIIIIIIIISSSSS ISSSSSSS SIIIIIMMBBAAAAAA 🇹🇿✨

The Tanzanian giants have done it!!! ✨

#cafccwithmicky 
#totalenergiescafcc 
#nguvumoja 🦁
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Tutawakabili Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #TotalEnergiesCAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja

Tutawakabili Stellenbosch FC ya Afrika Kusini katika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #TotalEnergiesCAFCC #WenyeNchi #NguvuMoja
Tagato James  (@tagatojtagato) 's Twitter Profile Photo

KAMPUNI ya Jayrutty Investment Company Limited, imeshinda tenda ya kutengeneza na kusambaza jezi za SimbaSC kwa Tsh. 38 Bilioni. Klabu ya Simba itajivunia Tsh. 5.6 Bilioni kwa kila mwaka, katika kipindi cha miaka 5 ya mkataba huo.

KAMPUNI ya Jayrutty Investment Company Limited, imeshinda tenda  ya kutengeneza na kusambaza jezi za SimbaSC kwa Tsh. 38 Bilioni.

Klabu ya Simba itajivunia Tsh. 5.6 Bilioni kwa kila mwaka, katika kipindi cha miaka 5 ya mkataba huo.
Tagato James  (@tagatojtagato) 's Twitter Profile Photo

Kikosi cha Simba Sc kuanza safari asubuhi ya Aprl 22 kuelekea Afrika Kusini kwa Air Tanzania, tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Stellenbosch FC. Wachezaji 23 pamoja na viongozi, watatua Jo’burg kisha kuunga safari hadi Durban.

Kikosi cha Simba Sc kuanza safari asubuhi ya Aprl 22 kuelekea Afrika Kusini kwa Air Tanzania, tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Stellenbosch FC. 

Wachezaji 23 pamoja na viongozi, watatua Jo’burg kisha kuunga safari hadi Durban.
Tagato James  (@tagatojtagato) 's Twitter Profile Photo

Wanaocheza na Joshua Budo Mutale, wanapata tabu kuliko hata yeye. Hawaendani na kasi na akili yake labda. Huyu ni mchezaji wa NIPE NIKUPE, RAHA TUPATE! Sema gari limewakia mlimani au ndio kaanza kuzoea? #EmuTuone📌

Wanaocheza na Joshua Budo Mutale, wanapata tabu kuliko hata yeye. Hawaendani na kasi na akili yake labda.

Huyu ni mchezaji wa NIPE NIKUPE, RAHA TUPATE!

Sema gari limewakia mlimani au ndio kaanza kuzoea? #EmuTuone📌
Micky Jnr (@mickyjnr__) 's Twitter Profile Photo

This is the current state of the Benjamin Mkapa Stadium. 🏟️🇹🇿 It will be shocking if this venue doesn’t host the 2nd leg of the Confederation Cup final. #cafccwithmicky #nguvumoja 🦁

Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Yote yanayoendelea leo , kwa macho ya kiroho mtakubaliana na mimi picha ya mpira wa Afrika kwa sasa , timu zote za nje zinautazama uwanja wa Benjamin Mkapa kama uwanja mgumu linapokuja suala la mechi za kimataifa Maliza kusoma hiki hapo juu , alafu fuatilia kote ambapo taarifa

Yote yanayoendelea leo , kwa macho ya kiroho mtakubaliana na mimi picha ya mpira wa Afrika kwa sasa , timu zote za nje  zinautazama uwanja wa Benjamin Mkapa kama uwanja mgumu linapokuja suala la mechi za kimataifa 

Maliza kusoma hiki hapo juu , alafu fuatilia kote ambapo taarifa