#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile
#ChangeTanzania

@changetanzania

This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

ID: 474690789

linkhttps://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 calendar_today26-01-2012 07:39:46

103,103K Tweet

318,318K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

I took the time to read the article from The Africa Report as somone bothered to pay for it 🙄 and sent me They quoted a number of people including me using my public tweet but nowhere does it read that a source CONFIRMED that Polepole is dead Why this headline!? Sisi siyo

I took the time to read the article from <a href="/TheAfricaReport/">The Africa Report</a> as somone bothered to pay for it 🙄 and sent me
They quoted a number of people including me using my public tweet but nowhere does it read that a source CONFIRMED that Polepole is dead
Why this headline!? 

Sisi siyo
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Baada ya hapa huyu mzee sasa -- Alipi tozo kwenye line za simu anapofanya miamala -- Maisha yamebadilika kabisa anapokea posho kutoka serikalini -- Hakienda Hospital anakuta madawa yamejaa -- Anapata huduma bora kabisa za Umeme na Maji shitukeni mnachezewa akili

Baada ya hapa huyu mzee sasa
-- Alipi tozo kwenye line za simu anapofanya miamala
-- Maisha yamebadilika kabisa anapokea posho kutoka serikalini
-- Hakienda Hospital anakuta madawa yamejaa
-- Anapata huduma bora kabisa za Umeme na Maji

shitukeni mnachezewa akili
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Zaidi ya watia nia 100,000 wamenyimwa haki ya kugombea. Kwa hali hii huu ni uchaguzi wa kweli au uchafuzi? #NoReformsNoElection 💪🏽 #BilaMabadiliko hakuna uchaguzi

Zaidi ya watia nia 100,000 wamenyimwa haki ya kugombea. Kwa hali hii huu ni uchaguzi wa kweli au uchafuzi?
#NoReformsNoElection 💪🏽
#BilaMabadiliko hakuna uchaguzi
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

CCM tumieni AKILI basi, hawa wote mmeweka kwenye hiki kipeperushi ni wanufaika wa hali inayoumiza wananchi kwa sasa -- Majaliwa ni waziri mkuu wa miaka 10, ni mnufaika wa mfumo wa sasa ana anakula na kusaza, amekuwa akisema uongo mchana na usiku -- Kimiti amekuwa mbunge na

CCM tumieni AKILI basi, hawa wote mmeweka kwenye hiki kipeperushi ni wanufaika wa hali inayoumiza wananchi kwa sasa

-- Majaliwa ni waziri mkuu wa miaka 10, ni mnufaika wa mfumo wa sasa ana anakula na kusaza, amekuwa akisema uongo mchana na usiku

-- Kimiti amekuwa mbunge na
#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Kuna na magazeti yaliyofurika habari za namna ni dalili kwamba wanyonyaji wameanza kudanganya wanyonywaji Kuimba amani dhidi ya wannachi waliochika mateso ni kuishara kwamba wanaoongoza nchi wameshindwa kuelewa mzizi wa tatizo #ChangeTanzania

Kuna na magazeti yaliyofurika habari za namna ni dalili kwamba wanyonyaji wameanza kudanganya wanyonywaji 

Kuimba amani dhidi ya wannachi waliochika mateso ni kuishara kwamba wanaoongoza nchi wameshindwa kuelewa mzizi wa tatizo 

#ChangeTanzania
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨‼️ VIJANA WANASHIKILIWA MABATINI NA OYSTERBAY BILA KUANDIKWA KWENYE DAFTARI‼️ A large group of young men are held without being registered in Dar es Salaam after the Rapid Bus protest 2 weeks ago! This is illlegal detention and preparation for #EnforcedDisappearances Please

🚨‼️ VIJANA WANASHIKILIWA MABATINI NA OYSTERBAY BILA KUANDIKWA KWENYE DAFTARI‼️
A large group of young men are held without being registered in Dar es Salaam after the Rapid Bus protest 2 weeks ago! This is illlegal detention and preparation for #EnforcedDisappearances 
Please
Chadema Kanda ya Serengeti (@chademaserenget) 's Twitter Profile Photo

Baba mzazi wa Mwanamtindo Maarufu Flaviana Matata Mzee Francis flugens matata ambaye ni kada wa CCM anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa shinyanga kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano Mzee Francis ana zaidi ya Masaa 24 toka amekamatwa na mpaka sasa hajapewa dhamana

Baba mzazi wa  Mwanamtindo Maarufu <a href="/FlavianaMatata/">Flaviana Matata</a>  Mzee Francis flugens matata ambaye ni kada wa CCM anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa shinyanga kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano Mzee Francis ana zaidi ya Masaa 24 toka amekamatwa na mpaka sasa hajapewa dhamana
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwamba mtu kama. Huyu anatekwa kwa kutoa Elimu kama hii kwa Watanzania wenzake… Alafu waizi na majambazi wanawalipa 2,000 walizowaibia wanawabeba kwenye malori kwenda kuwashangilia!!! Mko sawa? Mnataka Taifa la aina gani? La watu wasio na akili kabisa!

#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Huko Bukoba, wakili ametekwa Ijumaa asubuhi wakati anaenda kazini. Anaitwa Dunstan Mujaki, ni advocate wa kujitegemea, Bukoba mjini. Utekaji umekuwa suala la kawaida; kila mtu yuko hatarini. #ChangeTanzania

Huko Bukoba, wakili ametekwa Ijumaa asubuhi wakati anaenda kazini. Anaitwa Dunstan Mujaki, ni advocate wa kujitegemea, Bukoba mjini.

Utekaji umekuwa suala la kawaida; kila mtu yuko hatarini.

#ChangeTanzania
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Huyu ameuliza maswali ya masingi sana, ukielewa na kujibu haya maswali vizuri utakuwa umeelewa mchezo wanaokuchezea CCM Wanaposema amani wana maana tuacheni tule hii nchi ni yetu kwa akili ya haya maCCM ni kwamba hii nchi ni ya sisi ni kama wapita njia tu ndio maana mnaona kila

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Bado siku 16 kufika #Oktoba29Tunatoka Wananchi wanazidi kutekwa na kuumizwa kwa hofu ya watawala! Badala ya kuwatia hofu mnawajaza hasira na chuki! Mnafikiri kikosi cha Mafwele kitawalinda? Basi mmekosea maana safari hii mmevuka mipaka yote - mmekuwa worse than yule Nduli

Bado siku 16 kufika #Oktoba29Tunatoka 
Wananchi wanazidi kutekwa na kuumizwa kwa hofu ya watawala!
Badala ya kuwatia hofu mnawajaza hasira na chuki!
Mnafikiri kikosi cha Mafwele kitawalinda? 
Basi mmekosea maana safari hii mmevuka mipaka yote - mmekuwa worse than yule Nduli
MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: MAHAKAMA KUU YAKATAA PINGAMIZI LA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI YA TUNDU LISSU Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2025, imetoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo

#TANZANIA: MAHAKAMA KUU YAKATAA PINGAMIZI LA JAMHURI KATIKA KESI YA UHAINI YA TUNDU LISSU
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2025, imetoa uamuzi mdogo katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Lissu anaweka standard ya juu sana ya namna ya kuthibitisha kesi za jinai. Uhuni wa kusuka kesi na kuacha matobo mengi…. Kesi ya kupikwa na shahidi anapikwa kama kuku wa kienyeji. Moto kidogo Lakini kuku anaiva sana .

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tanzania tunayoitaka Pamoja na hasira ya kutekwa, kuonewa, kuporwa haki, sisi ni wazalendo tunayotaka Tanzania mpya baada ya Oktoba 29 na si mambo yaleyale ya dhulma Leo tujadili vision yetu na tunachodai! Saa 2 uck leo!

Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tanzania tunayoitaka
Pamoja na hasira ya kutekwa, kuonewa, kuporwa haki, sisi ni wazalendo tunayotaka Tanzania mpya baada ya Oktoba 29 na si mambo yaleyale ya dhulma
Leo tujadili vision yetu na tunachodai! 
Saa 2 uck leo!
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 96 Mhe. Lissu: Mtu mwenye hiyo account ya kawaida hiyo ya Gmail anaweza kuweka video huko YouTube? Kaaya: ni sahihi anaweza hata live streaming anaweza. Mhe. Lissu: kwahiyo ni ushahidi wako kwamba mtu yeyote mwenye Gmail account anaweza kurusha

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🙄🙄🙄 This is what the elections in Tanzania looks like! where is the lie? Dunia imeshajua na hata mtoto mdogo hadanganyiki! #NoReformsNoElection is the only option! #Oktoba29Tunatoka is a movement!

🙄🙄🙄 
This is what the elections in Tanzania looks like!
where is the lie? 

Dunia imeshajua na hata mtoto mdogo hadanganyiki! 
#NoReformsNoElection is the only option! 
#Oktoba29Tunatoka is a movement!
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨UPDATE🚨 Police Police Force TZ have detained more Chadema leaders who went to look for Chifu Karumuna! They also denied having him but we are reliably informed he is held at Bukoba Central Vijana walioenda kumwulizia Chifu pia wamekamatwa na ni - Shijason Paul (Katibu mwenezi