Chacha Mase (@chachap26430723) 's Twitter Profile
Chacha Mase

@chachap26430723

Electrician at GGOFS
Oil technology

ID: 1526639142595076096

calendar_today17-05-2022 19:02:27

148 Tweet

179 Followers

612 Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Karibu Tanzania. Nchi ambayo mtumishi wa umma (mwalimu) kwa miaka 6 ameongezewa shilingi elfu 6 katika mshahara wake. Katika miaka hiyo 6 sukari kilo moja imepanda na kufika shilingi elfu 6. Lakini walimu hao wamechanga fedha za kumchukulia SAMIA fomu ya kugombea Urais 2025.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Hakuna kitu kinaongeza hofu na kuua ktk masuala yanayohusu afya siku hizi kama Google.Nashauri kwa dhati kabisa kwa watu wote mpende kutafuta ushauri wa dalili wa matatizo ya afya kwa kwa watalaamu na kwa vipimo salama na vizuri. Google inauwezo mkubwa sana wa kukuza tatizo dogo

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Haya kwa kuwa kuna UHABA wa SUKARI wakati wa Kwaresmo huu UHABA uendelee mpaka wakati wa Ramadhani ili Serikali ioneshe haina UBAGUZI wa kidini. Kuna watu Nchi hii ni STUPID sana!!

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Nataka kuwaeleza foot soldiers wa CDM kitu muhimu sana. CDM haiwezi kushinda Urais wa TZ bila ya Kura za WAISLAMU na WAKRISTO. Huu mchezo wenu wa UDINI ni double edged sword. Utawakata CCM kwa Wakristo but rest assured utawakata CDM tena SANA Kwa Waislamu. Endeleeni tu!

Farhan Kihamu Jr (@fkihamu) 's Twitter Profile Photo

USISAHAU Mwanangu kazini sio sehemu ya Marafiki ama Undugu, kazini ni watu mnaokutana kwa ajili ya lengo maalum la taasisi, wengi wamesalitiwa na waliodhani ni Marafiki, wengi wamepoteza kazi kwa kuhamishiwa maneno, Rafiki leo mnamsema Boss na kesho anaenda kufikisha kwa Boss.