MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) 's Twitter Profile
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

@davitheempire

Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐Ÿ† A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.

ID: 2436105846

linkhttp://mwakaT.com calendar_today09-04-2014 22:15:18

185,185K Tweet

22,22K Followers

1,1K Following

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Wanasema tabia ni kama ngozi huwezi kuibadili yani yule wa kwenye speech ya jana ndo Rais Samia mwenyewe ya wa 4R, Kikosi kazi na Maridhiano alikuwa anaigiza ili apate clip za kuombea mikopo kwa mabeberu.

CHADEMA Tanzania (@chadematz) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews Boniface Jacob Boniface Jacob amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ya leo tarehe 18 Septemba 2024 ambapo polisi wawili (2) wenye sare na askari watatu (3) waliokuwa wamevaa kiraia na wenye silaha walifika hotelini hapo na

#BreakingNews Boniface Jacob <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> amekamatwa eneo la hotel ya Golden Fork ,Sinza majira ya saa 11.09 jioni ya leo tarehe 18 Septemba 2024 ambapo polisi wawili (2) wenye sare na askari watatu (3) waliokuwa wamevaa kiraia na wenye silaha walifika hotelini hapo na
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mimi huwa kuna kiungo changu fulani kikisimka tu, sikipuuzii kabisa. Tangu ile lecture nilijua kabisa moshi mweupe umefuka kuruhusu haya. Yana Mwisho,

Mimi huwa kuna kiungo changu fulani kikisimka tu, sikipuuzii kabisa.

Tangu ile lecture nilijua kabisa moshi mweupe umefuka kuruhusu haya.

Yana Mwisho,
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธALERTโ€ผ๏ธ Hawa watu wawili wamekuwa wakifanya Doria nyumbani kwa Mhe. Freeman Mbowe na kwenye Ofisi za Chama Mikocheni tangu Jana. Leo J5 wameshinda kwenye hilo Duka mbele ya ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni. Hawa wanaweza kuwa ndio wale watu wa Mafwele na TASK FORCE?

โ€ผ๏ธALERTโ€ผ๏ธ

Hawa watu wawili wamekuwa wakifanya Doria nyumbani kwa Mhe. <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a> na kwenye Ofisi za Chama Mikocheni tangu Jana.

Leo J5 wameshinda kwenye hilo Duka mbele ya ofisi ya Makao Makuu ya Chama Mikocheni.

Hawa wanaweza kuwa ndio wale watu wa Mafwele na TASK FORCE?
Omari Omari (@omari_manyama) 's Twitter Profile Photo

"Ipo Cku Polisi Watakapotaka Kuwatawanya Waandamanaji Kwa Mitutu Ya Bunduki/Mabomu Ya Machozi,Wataona Wanaoandamana Ni Watoto Wao,Wake/Waume/Baba/Mama/Wajomba/Babu/Bibi Na Majirani Zao. Hapo Ndipo Wataweka Silaha Chini Na Kuungana Na Kuandamana Pamoja! IPO CKU" - #NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’

"Ipo Cku Polisi Watakapotaka Kuwatawanya Waandamanaji Kwa Mitutu Ya Bunduki/Mabomu Ya Machozi,Wataona Wanaoandamana Ni Watoto Wao,Wake/Waume/Baba/Mama/Wajomba/Babu/Bibi Na Majirani Zao. Hapo Ndipo Wataweka Silaha Chini Na Kuungana Na Kuandamana Pamoja! IPO CKU" - <a href="/Roma_Mkatoliki/">#NIPENI_MAUA_YANGU๐Ÿ’</a>
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Police Arrest and Search Home of Opposition Figure Boniface Jacob, Who Has Been Tracking Abduction Cases in Tanzania On September 18, 2024, at around 8:22 pm, Boniface Jacob, a former mayor of Dar es Salaam and a prominent opposition figure from the CHADEMA party, known

Tanzania Police Arrest and Search Home of Opposition Figure Boniface Jacob, Who Has Been Tracking Abduction Cases in Tanzania

On September 18, 2024, at around 8:22 pm, Boniface Jacob, a former mayor of Dar es Salaam and a prominent opposition figure from the CHADEMA party, known
Mshauri Serikali ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mshauriserikali) 's Twitter Profile Photo

Sema nini Sheikh Boniface Jacob Hisia zinaniambia hao Mapolisi waliokukamata, 2025 Watakupigia Saluti na Kukuita Muheshimiwa na Utawapa Sana Maagizo.. Ni Suala la Muda ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Sema nini Sheikh <a href="/ExMayorUbungo/">Boniface Jacob</a> 

Hisia zinaniambia hao Mapolisi waliokukamata, 2025 Watakupigia Saluti na Kukuita Muheshimiwa na Utawapa Sana Maagizo.. Ni Suala la Muda ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Sisi katika chama chetu (CHADEMA), kwetu huu ni mwezi wa maombolezo, tunashukuru Watanzania wote, wa vyama vyote, taasisi mbalimbali, watu binafsi ambao wamelia na sisi. Kwetu umekuwa ni mwezi mgumu mno, na ndiyo sababu nilisema katika hatua za kwanza, tunapata wakati mgumu

"Sisi katika chama chetu (CHADEMA), kwetu huu ni mwezi wa maombolezo, tunashukuru Watanzania wote, wa vyama vyote, taasisi mbalimbali, watu binafsi ambao wamelia na sisi. Kwetu umekuwa ni mwezi mgumu mno, na ndiyo sababu nilisema katika hatua za kwanza, tunapata wakati mgumu
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wananchi tuendelee kushare taarifa za kujilinda dhidi ya jeshi la polisi. Jeshi la polisi ndio watekaji, wakija kwenye makamera na mic wanajifanya sio wao. Wanaweza kuja kwako na wakajitambulisha kuwa wao ni jeshi la polisi na vitambulisho wakakuonyesha, ila wakiona kamera na

Wananchi tuendelee kushare taarifa za kujilinda dhidi ya jeshi la polisi.

Jeshi la polisi ndio watekaji, wakija kwenye makamera na mic wanajifanya sio wao.

Wanaweza kuja kwako na wakajitambulisha kuwa wao ni jeshi la polisi na vitambulisho wakakuonyesha, ila wakiona kamera na
MMAREKANI MWEUSI ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ (@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

HII SERIKALI haitafika 2025 itakua IMEANGUKA evil ni evil hana jinsi๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ