
Eng. DaudiKasimu
@daudi_kasimu
Environmental Engineer ARU 2024|Former VP ARUSO 16|Minister of Environment in Tanzania Youth Parliament 2022|Katibu UVCCM ARU 2023/24|Man Utd & Young Africa fan
ID: 1499711417657610243
https://www.instagram.com/eng.kasimudaudijabiri0255?igsh=MWQ3ZjZhOHRsanVsZw== 04-03-2022 11:46:24
349 Tweet
284 Followers
864 Following


Kwa yote ambayo yame fanyika katika sekta ya maji tangu mwaka 202 mpaka Sasa 2025 march 22, Samia Suluhu anastahili tuzo hii na heshima kama mlezi wa maji na usafi wa mazingira barani Africa.






Dkt. Samia Nyota Inayo Ng'ara Africa na Duniani kwa Jumla juhudi zako Rais wetu mdiyo Mafanikio katika sekta ya Michezo Sekta ya Madini Miundo Mbinu Afya Elimu Pamoja na Mazingira Hongeta Sana Dkt Samia Suluhu Kuifungua Tanzania๐น๐ฟ ๐






Sema viongozi wa @ChademaTz n wa hovyo sana yani Tundu Antiphas Lissu ,John Heche MNYIKA John John na genge lenu mna hadaa wenzenu eti no reform no election wakati mna ulafi wa madaraka, sasa hizo fomu za nini kama hamshirik uchagguzi?

Sir Jim Ratcliffe uso kwa uso na rais Samia Suluhu. Hii ni ishara tosha kwamba rais SSH ni sehemu ya mchezo wa mpira wa miguu na ulimwengu unatambua hilo. Amekuwa chachu ya mafanikio mengi katika sekta ya michezo nchi


GGMU, mashabiki wa united tuna furaha mara mbili ,moja rais samia anafanya makubwa kwenye sekta ya michezo ,pili kuona sir Alex ferguson Ana recognise na kuappreciate anacho kifanya rais Samia Suluhu

Ni hatua nzuri sana kwa club kutoka Tanzania, kikubwa nafasi ambazo zinapatikana basi zitumike kwa ufanisi Simba Sports Club

Rais Mwenye Upendo na Huruma,Nafasi yake Kwa Taifa haijawahi kumpa kiburi kwani yeye ni Mama na mlezi wa Watanzania wote. Moyo wake ni wa kipekee sana,Upendo wake hauna mipaka hata Kama ya utofauti wa kisiasa Huruma yake haijawahi kuyumba Tunajivunia Uongozi wako Cc cousin 420



