Don future (@criecess) 's Twitter Profile
Don future

@criecess

ID: 1576892283873624064

calendar_today03-10-2022 11:10:14

61 Tweet

7 Followers

171 Following

Privaldinho (@privaldinho) 's Twitter Profile Photo

Tulijua ipo siku lazima tungefungwa. Hatukuwa na mchezo mzuri, wapinzani wetu wameonesha kiwango kizuri. Tunarudi kujipanga upya mapambano bado yanaendelea

Tulijua ipo siku lazima tungefungwa. Hatukuwa na mchezo mzuri, wapinzani wetu wameonesha kiwango kizuri. Tunarudi kujipanga upya mapambano bado yanaendelea
Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, Kama Mwanzo na sasa na siku zote na milele amina. โœBwana atujalie usiku mtulivu na mwisho Mkamilifu๐Ÿ™

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Salamu Maria umejaa neema. Bwana yu nawe. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Naye Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu. Utuombee sisi wakosefu. Sasa, na saa ya kufa kwetu, Amina๐Ÿ™

Alexander (@alesandrojr) 's Twitter Profile Photo

Tunaukimbilia, ulinzi wako mzazi Mtakatifu wa Mungu, usitunyime tukiomba katika shida zetu, utuokoe kila siku tuingiapo hatarini, Ee Bikira Mtukufu mwenye baraka, Amina.๐Ÿ™