Okoa Wakati- Kataa Wahuni
@ckapugi
ID: 1292398437451935746
09-08-2020 09:53:41
7,7K Tweet
141 Takipçi
2,2K Takip Edilen
Paul Bonaventure Umesema kwamba tutaenda kutambua waganga wakweli nawasio wakweli ila sass sijaona ukiandika kuwa utamjuaje mganga wa kweli na muongo😀😀
Jambo TV Kimsingi nimekubaliana na Maria Sarungi. Hivyo ni kweli Maria huwa anapata taarifa sahihi. Kuanzia leo Maria Sarungi anapaswa kuaminiwa kwa taarifa zake zote. Hata ile taarifa ya Mdude nimeamini kuwa afande Shaban na mkuu wa mkoa Mbeya ni watekaji wa Mdude kwa maelekezo ya ikulu.