Charles Kamugisha (@ckamu) 's Twitter Profile
Charles Kamugisha

@ckamu

Community Development Specialist

ID: 258744382

calendar_today28-02-2011 11:48:15

672 Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

soso❤️ (@cityfrans47_) 's Twitter Profile Photo

Raila's son won't be participating in the Maandamano because he has errands to run and a family to take care of Who are you to show up? Wacheni kuwa wajinga wah #RailaLordOfViolence. No Handcheque

Raila's son won't be participating in the Maandamano because he has errands to run and a family to take care of

Who are you to show up? Wacheni kuwa wajinga wah

#RailaLordOfViolence.
No Handcheque
Neema Lugangira (@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

My colleagues, Hon MPs globally; today, Hon Dr. Tax, MFA Tanzania announced Hon Dr. Tulia Ackson, Speaker of Bunge la Tanzania as our #Tanzania 🇹🇿 Candidate for IPUparliament Presidency. She has what it takes thus I humbly ask for your support and seek votes from your IPU Delegations.

My colleagues, Hon MPs globally; today, Hon Dr. Tax, <a href="/mfa_tanzania/">MFA Tanzania</a> announced Hon Dr. Tulia Ackson,  Speaker of <a href="/bunge_tz/">Bunge la Tanzania</a> as our #Tanzania 🇹🇿 Candidate for <a href="/IPUparliament/">IPUparliament</a> Presidency. She has what it takes thus I humbly ask for your support and seek votes from your IPU Delegations.
Yericko Nyerere (@yerickonyereret) 's Twitter Profile Photo

Taifa letu limebahatika kupata kadinali wa tatu mswahili tena tangu taifa letu lipate Uhuru 1961. Awali Taifa letu lilianza kwakumpata kadinali Kasisi Laurian Rugambwa kutoka Bukoba, akafuata Kadinali Kasisi Pengo kutoka Sumbawanga, Na sasa Familia ileile ya Wahaya imepata bahati

Taifa letu limebahatika kupata kadinali wa tatu mswahili tena tangu taifa letu lipate Uhuru 1961. Awali Taifa letu lilianza kwakumpata kadinali Kasisi Laurian Rugambwa kutoka Bukoba, akafuata Kadinali Kasisi Pengo kutoka Sumbawanga, Na sasa Familia ileile ya Wahaya imepata bahati
Charles Kamugisha (@ckamu) 's Twitter Profile Photo

Hi if you have organization working or based in Tanzania working on Stop TB Interventions there is an funding opportunity, let us communicate thank you

Charles Kamugisha (@ckamu) 's Twitter Profile Photo

Poleni sana watanzania wenzetu walio katika majanga haya yaliyojitokeza shime tuwasaidie wenzetu wenye hali ngumu na pongezi kwa serikali kwa hatua zinazochukuliwa

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo, nimepata wasaa wa kutembelea Soko la Dhahabu pamoja na kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Kitaifa mkoani Geita, na baadaye kuzungumza na wananchi. Nimefarijika kuona hatua kubwa tunayopiga kama Taifa kwenye uwekezaji katika

Mapema leo, nimepata wasaa wa kutembelea Soko la Dhahabu pamoja na kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye Sekta ya Madini Kitaifa mkoani Geita, na baadaye kuzungumza na wananchi. 

Nimefarijika kuona hatua kubwa tunayopiga kama Taifa kwenye uwekezaji katika
Charles Kamugisha (@ckamu) 's Twitter Profile Photo

As we are approaching at the end of the year, we are asking for mercy from God to make us go through and have a very prosperous new year 205

Kassim Majaliwa Majaliwa (@kassimmajaliwa_) 's Twitter Profile Photo

Ninawatakia Waislamu wote heri ya mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Tuutumie mwezi huu kuliombea Taifa letu sambamba na kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu. Ramadhan Kareem.

Ninawatakia Waislamu wote heri ya mfungo mwema wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan. 

Tuutumie mwezi huu kuliombea Taifa letu sambamba na kudumisha amani, umoja, upendo na mshikamano miongoni mwetu.

Ramadhan Kareem.
Charles Kamugisha (@ckamu) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana Mh Raid ongeza Kasi ya Kudhibiti rushwa katika huduma za umma imeanza kurudi na uzembe Kwa baadhi ya watumishi