#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile
#ChangeTanzania

@changetanzania

This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337

ID: 474690789

linkhttps://forms.gle/1JbJ9n38cpsSu5UM7 calendar_today26-01-2012 07:39:46

97,97K Tweet

315,315K Followers

1,1K Following

#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

#Kupitia #KatibaMpya Tume ya maadili ya utumishi wa umma iwe na hadhi ya mahakama na iwe huru kwa kuwa na wajumbe huru wasiopokea maagizo popote. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kupitia #KatibaMpya Kiongozi wa Tume ya maadili asiteuliwe na Rais ili kufanya kazi kwa uhuru na kutohofia matakwa ya aliyemteua na hofu ya kutenguliwa akienda kinyume. . #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Tanzania tuna vyanzo vya nishati visivyochafua mazingira wala kuleta athari kwa wananchi kwenye maeneo ya mradi, hatuna ulazima kuingia kwenye Bomba la EACOP kwa sababu mafuta yanakwenda kunufaisha Ufaransa na si nchi za Afrika zitakazoumizwa na mradi #KataaEACOP #EACOPniTishio

Kupiitia #KatibaMpya Sheria ya tume ya wa umma iboreshwe ili kuongeza uwajibikaji, ikiwa ni sambasamba na kuboresha Tume ya maadili ya utumishi wa umma. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kuwa karibu na Samia sio sababu ya kuwa salama, hakuna aliye salama, hata kama umejiweka karibu na samia, tuhamasihe na kuweka msukumo kwa serikali kwa suala usalama ili wawajibike — Tundu Antiphas Lissu #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…

Kuwa karibu na Samia sio sababu ya kuwa salama, hakuna aliye salama, hata kama umejiweka karibu na samia, tuhamasihe na kuweka msukumo  kwa serikali kwa suala usalama ili wawajibike  —  <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>  #WenyeNchiWananchi VIDEO  : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…
#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa tume ya maadili akiteuliwa na Rais mara nyingi atafanya kazi kwa matakwa ya Rais na si kutenda haki, hii si sawa. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Elimu ni njia bora ya kuwakomboa wanawake na wasichana katika jamii hasa wale walioathirika na ujauzito. Tunahitaji sera ya #ArudiShule ili kuhakikisha kuwa wasichana wajawazito wanarudishwa tena ili waweze kutimiza uwezo wao kamili. #ElimuBilaUbaguzi #ChangeTanzania

Kupitia kinga na ubutu wa tume za maadili viongozi wamekuwa wakiongea kauli ngumu kwa wananchi bila kujali kwa kuwa miiko haina makali ya kuwashughulikia. Tunahitaji tume zenye meno. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Mabadiliko ya tabia ya nchi ni suala linalotishia kila kiumbe hai, Bomba la mafuta lina athari mbaya katika juhudi zetu za kupambana kulinda maisha ya binadamu, afya, usalama, ambapo hali ya hewa ni sehemu yake ili kulinda vizazi vijavyo. #KataaEACOP #EACOPniTishio

Wananchi wasipochukua hatua za kuikabili serikali hatutapata mabadiliko, wananchi waepuke kutegeana, mabadiliko yanahitaji ushiriki wa kila mwananchi. — Tundu Antiphas Lissu #WenyeNchiWananchi VIDEO : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…

Wananchi wasipochukua hatua za kuikabili serikali hatutapata mabadiliko, wananchi waepuke kutegeana, mabadiliko yanahitaji ushiriki wa kila mwananchi. —  <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>  #WenyeNchiWananchi VIDEO  : youtu.be/cJq2-4waPD4?si…
#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Tume ya maadili yenye kuwajibika ni lazima iwe huru. Tume ya sasa haipo huru kwa ajili hii, ni lazima tupate #KatibaMpya ili kupata tume nzuri ya maadili. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Wananchi wanataka miiko ya uongozi kutambulika katika sheria zetu na si kutambulika tu bali kufanya kazi kwa kutamulisha wajibu na madaraka ya kila mtu. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Katika kuchambua na kutathmini maoni ya wananchi kuhusu maadili ya viongozi wa umma na uwajibikaji, Tume ya Warioba ilifanya utafiti kuhusu dhana ya uwajibikaji. Katiba ya sasa kwa kiasi kikubwa inakwamisha uwajibikaji. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kuwe na miiko ya uongozi wa umma, haya ni miongoni mwa mambo ambayo wananchi wanatamani kwa kiasi kikubwa yawepo kwenye #KatibaMpya ili kupata viongozi wenye maadili. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Katiba ya sasa haina miiko ya kutosha kwa viongozi wa umma kitu kinachopelekea kutowajibika, ubadhirifu na ukatili kufanyika na viongozi wanaounda serikali yetu. . #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Kwa manufaa ya umma lazima tuweke miiko ya uongozi kwenye sheria zetu. Umma utanufaika kwa kupata uongozi uliotukuka na kupata madaraka waliyoyapoteza kwa muda mrefu. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi

Ubora wa viongozi pamoja na masharti ya nani awe kiongozi ni muhimu sana yakatambuliwa katika sheria zetu.tunahitaji #KatibaMpya yenye kuweka bayana ambo haya. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi