
Chadema Tanzania
@chadematz2
The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
ID: 1913175629509312513
http://www.chadema.or.tz 18-04-2025 10:20:10
15 Tweet
1,1K Takipçi
84 Takip Edilen

Gari mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Mhe. John Heche imepata ajali maeneo ya Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kati. Gari hiyo ilikuwa
