adam von (@capilya1964) 's Twitter Profile
adam von

@capilya1964

ID: 811515814868303873

calendar_today21-12-2016 10:17:02

2,2K Tweet

33 Followers

114 Following

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Moja kati ya SWAUMU muhimu kabisa katika kipindi hiki cha MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI, ni kuhakikisha MASHEIKH WA ARUSHA waliokaa GEREZANI kwa miaka TAKRIBANI 10, WANATENDEWA HAKI. Kwa SHANI za ALLAH, tuipatie pesa MAHAKAMA ili ISIKILIZE kesi za MASHEIKH hao, INSHAALAH.

Shekh Ponda Issa Ponda (@sheikhponda) 's Twitter Profile Photo

MSHEIKH 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA LEO ARUSHA. Wawili waachiwa huru. Ni sehemu ya mamia ya Waislamu wanao tuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi. Wamekaa gerezani miaka 10. Wengine 10, wamekwisha hukumiwa kunyongwa Tanga. Awamu ya 4 na ya 5 waliwakama, awamu ya 6 inafunga na kuwanyonga.

MSHEIKH 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA LEO ARUSHA. 
Wawili waachiwa huru. Ni sehemu ya mamia ya Waislamu wanao tuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi. Wamekaa gerezani miaka 10. Wengine  10, wamekwisha hukumiwa kunyongwa Tanga. Awamu ya 4 na ya  5 waliwakama, awamu ya 6 inafunga na kuwanyonga.
Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

WANAWAKE wazee vijijini (walio wengi) na baadhi yao mijini ndiyo walezi wa watoto wa watoto wao. Single parents walio wengi wamewaacha watoto wao kwa hawa giant queens. Unapokuwa kwenye maombi yako mbele za Mungu usiwasahau giant queens. Wanalea mataifa. Queens Shoulders.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita wabaya. Tuwe wanyenyekevu." ~Togolani Mavura.

"Mara nyingi chuki dhidi yetu hupaliliwa na tambo na majivuno yetu hadharani kisha tunalaumu watu na kuwaita wabaya. Tuwe wanyenyekevu." ~Togolani Mavura.
Wanaume Connect (@wanaumeconnect) 's Twitter Profile Photo

Wanaume wengi wanawasaidia wanawake kuliko wanaume wenzao. Mwanamke atachagua kumsaidia mwanamke mwenzake na sio mwanaume, Serikali itamsaidia mwanamke, Jamii itamsikiliza mwanamke, Kila mtu yupo kinyume na mwanaume Tuamke wanangu, tujiweke mbele wenyewe.

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Ikiwa hatimaye tutakufa, kwanini basi tulizaliwa? Tulizaliwa tufe au tulizaliwa tuishi? Kama kufa ni lazima, basi kufurahia maisha ni utashi. Yape maisha yako kusudi kisha liishi kusudi hilo. Hakika, tutakufa siku moja, lakini tunatumiaje zile siku nyingine tutakazokuwa hai?"

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

Micky Jnr Hii ndio UBAYA UBWELA… Simba walisema hawachezi usiku…ila TFF walihairisha mechi kesho yake Asubuhi… Was SIMBA part of the TFF decision-making process?