MSHEIKH 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA LEO ARUSHA.
Wawili waachiwa huru. Ni sehemu ya mamia ya Waislamu wanao tuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi. Wamekaa gerezani miaka 10. Wengine 10, wamekwisha hukumiwa kunyongwa Tanga. Awamu ya 4 na ya 5 waliwakama, awamu ya 6 inafunga na kuwanyonga.