Bussara Jr. (@bussarajr) 's Twitter Profile
Bussara Jr.

@bussarajr

leader | Teacher | Traveler| Politician.
Secretary of Youth Wing Act wazalendo Tanzania.

ID: 1394358504224329730

calendar_today17-05-2021 18:26:06

562 Tweet

814 Followers

887 Following

Abdul Nondo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa Chama Bi. Dorothy Semu (Dorothy Semu) atakuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya kwanza ya Wahitimu wa ACTWazalendo Vyuo Vikuu yatakayofanyika tarehe 8 Juni 2024 Makao makuu ya Chama Magomeni katika ukumbi wa #HakaindeHichilema #SautiyaVijana #ACTWASO

Kiongozi wa Chama Bi. Dorothy Semu (Dorothy Semu) atakuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya kwanza ya Wahitimu wa ACTWazalendo Vyuo Vikuu yatakayofanyika tarehe 8 Juni 2024 Makao makuu ya Chama Magomeni katika ukumbi wa #HakaindeHichilema

#SautiyaVijana
#ACTWASO
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Wahitimu na wanachama mbalimbali kutoka Vyuo vikuu wakiwa katika mahafali ya kwanza ya Vyuo vikuu inayoendelea katika Ukumbi wa Hakainde Hechilema Makao Makuu ya ACTWazalendo DSM #SautiyaVijana #ACTWASO

Wahitimu na wanachama mbalimbali kutoka Vyuo vikuu wakiwa katika mahafali ya kwanza ya Vyuo vikuu inayoendelea katika Ukumbi wa Hakainde Hechilema Makao Makuu ya ACTWazalendo DSM

#SautiyaVijana
#ACTWASO
Rahmer Salum (@rahmer255) 's Twitter Profile Photo

Mahafali ya kwanza ya wahitimu wa vyuo vikuu ACT-WASO. The future is purple ๐Ÿ’œ ๐Ÿ’œ๐Ÿ’œ #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Mahafali ya kwanza ya wahitimu wa vyuo vikuu ACT-WASO. The future is purple ๐Ÿ’œ ๐Ÿ’œ๐Ÿ’œ

#TaifaLaWote
#MaslahiYaWote
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

โ€œHii kauli inayosema vijana ni taifa la kesho sisi ACTWazalendo tunaikataa tunasema vijana ni taifa la leo na sio lakesho. Tunahitaji sana nguvu za vijana kwenye kuleta mabadiliko Tanzania.โ€ Kiongozi wa Chama Dorothy Semu kwenye Mahfali ya ya kwanza ya wahitimu wa Vyuo Vikuu

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

"Katika nchi hii kuna watu wamempa TUZO Rais Samia Suluhu; kwa mambo ambayo hayajulikani walikubaliana nini. ACTWazalendo hatujawahi kutoa TUZO, siku zote tumeonesha Serikali inapaswa kufanya nini." Makamu Mwenyekiti wa ACTWazalendo Isihaka Mchinjita #TaifaLaWote #MaslahiYaWote

Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Salaam Mh.Rais Samia Suluhu .Mh.Rais , Msaidizi wako ambaye ni DC Kigoma Mjini Mh.Salum Kali alimuagiza mmiliki wa Hotel ya Coast View Resort amfukuze kazi Katibu wetu Ngome ya vijana_Official ACT Wazalendo Mkoa wa Kigoma ndg.Uledi Rajab kama Marketing Manager kwa kosa la kuwa ACT.

Ngome ya vijana_Official ya ACTWazalendo Taifa tumedhamiria kuwaleta vijana pamoja ili wawe sauti moja. Tunaamini kwenye nguvu ya vijana katika kuleta mabadiriko, kufanya maamuzi na kulinda rasilimali za Taifa letu. #VijanaTaifaMoja #SisiniTanzania

Ngome ya vijana_Official ya ACTWazalendo Taifa tumedhamiria kuwaleta vijana pamoja ili wawe sauti moja. Tunaamini kwenye nguvu ya vijana katika kuleta mabadiriko, kufanya maamuzi na kulinda rasilimali za Taifa letu.

#VijanaTaifaMoja #SisiniTanzania
Ngome ya vijana_Official (@ngomeyavijana) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 18/62024 Idara ya Vyuo Vikuu ya Ngome ya vijana_Official imejuika na watoto mayatima wa kituo cha Assalam orphan kilichopo Mpendae Zanzibar kula chakula chapamoja na kuwafariji kwa mambo mbalimbali na kuhakikisha watoto hao wanajiona niwatu muhimu na wakuthaminiwa kwenye jamii.