BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@bugdadi5) 's Twitter Profile
BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@bugdadi5

mkulima na mfugaji na mpenzi wa football Member of SIMBA sports club

ID: 2804419127

calendar_today04-10-2014 09:33:17

4,4K Tweet

522 Followers

4,4K Following

abymzigua (@abyasmzigua) 's Twitter Profile Photo

โ€” Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! โ€” Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. โ€” Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni

โ€” Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!

โ€” Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.

โ€” Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...

Na huu ni
BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@bugdadi5) 's Twitter Profile Photo

TBC DIGITAL TELEVISION YA TAIFA INASHINDWA KWELII KUONYESHA MECHI ZA TIMU YA TAIFA ETI WAKO KIBIASHARA ZAIDI, MBONA MH. RAIS AMETOA NDEGE HIVI NYIE NI NANI?

BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@bugdadi5) 's Twitter Profile Photo

Samia Suluhu heshima kwako RAIS wangu, wizara ya Afya, kupitia NHIF Imetangaza vifurushi vya matibabu kwa makundi mbalimbali, lakini watoto walemavu na wazee hatukuona makundi yetu, tunaomba msaada wako tutambuliwe

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Freeman Mbowe Mwanakijijiโšฝ Hongera sana Mh. Freeman Mbowe kwa kuonesha ukomavu wa kisiasa na kuheshimu matokeo ya uchaguzi. Kitendo chako cha kukubali matokeo ni somo kubwa la demokrasia na mshikamano. Umeacha alama kubwa ya uongozi wa hekima na uvumilivu. Historia itakukumbuka daima kwa mchango wako

BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@bugdadi5) 's Twitter Profile Photo

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š Kuna mtangazaji mkongwe alialikwa UFM RADIO Pia anaongoza idara fulani hapo hapo UFM RADIO Alisema hayo ya BUKINABE NI MAIGIZO, Lakini hakuleta ushahidi kama haya tunayoyaona huko Bukinafaso, je hakufanya utafiti na alikurupuka? Au hajui?

Simba SC Fan Page๐Ÿฆ (@simbascfanspage) 's Twitter Profile Photo

WANA SIMBA TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA โœ๏ธ Reply handle yako hapa โœ๏ธ Like handle zilizowekwa na watu โœ๏ธ Mtu aki like handle yako mfollow โœ๏ธ Mtu akikufollow follow back

WANA SIMBA TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA 

โœ๏ธ Reply handle yako hapa 

โœ๏ธ Like handle zilizowekwa na watu 

โœ๏ธ Mtu aki like handle yako mfollow

โœ๏ธ Mtu akikufollow follow back
BUGDADI AJM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@bugdadi5) 's Twitter Profile Photo

SINGIDA BLACK STARS SC Waulize wenzio SIMBA WAMETUFUNGA 5 MARA NGAPI? KISHA WAULIZE TENA SISI TUMESHAWAHI KUIFUNGA SIMBA, ACHA TUMALIZE GAME ZETU ZA KIMATAIFA HALAFU TUKUFUNGE MDOMO HALAFU AKAMUELEZE JAMAA YAKO, UMEZALIWA 2000 HALAFU UNATAKA KUJAMBA MELE ZA WATU UTAPASUKA MSAMBA WEE CHONGA