J.O.K.A🃏 (@brian_tomito) 's Twitter Profile
J.O.K.A🃏

@brian_tomito

Chelsea Fan💙|
Young Africans Fan💚|
Ui Ux Expert|

ID: 1400501517845774341

calendar_today03-06-2021 17:16:18

8,8K Tweet

3,3K Followers

4,4K Following

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Thank you so much for your help Sen. Jeanne Shaheen . We can never thank you enough. We, the people of Tanzania would like to ask for more to be done than just issuing statements as these statements have so far failed to yield any results. We need sanctions and for the White House

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Sikutilia maanani sana hizi video mwanzoni. Lakini nilianza kuziangalia kwa uzito zaidi pale nilipogundua kuwa maudhui ktk video hii yaliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa gazeti la Habari Leo, gazeti la serikali, na baadaye yakaondolewa. Na haya ni maneno ya Makamu wenu wa

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana kwa kuandika hili maana hata mimi nimeona kama Chadema wameanza kuingia mtego wa maridhiano na hawa wauwaji ili Lissu atoke ndani. Yani Chadema kama vile wameanza kuwa normalize CCM na uuaji wao kwa kuwapa matuamaini ya kufanya nao maridhiano. It’s seems now

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza. Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kaka Mwabukusi aongezewe ulinzii 😁 Kama nawaona TISS mlivyo-panic na kimama chenu! Uzuri Boniface Mwabukusi huwa ananyooka bila kupepesa macho Huu ndo ukweli! #TutaelewanaTu

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

‼️TAHADHARI‼️🚨 Nimejulishwa kwamba usiku huu TISS kupitia kitengo chao cha Propaganda wako busy na AI wanatengeneza video za ngono za Viongozi wa CHADEMA pamoja na Wanaharakati then wataanza kuziachia kuanzia usiku huu lengo ni kutaka kuhamisha watu ili wasijadili matakataka ya

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano???? Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wetu alisema haya miaka 12 iliyopita, kama kawaida ya watawala dhalimu wakapuuza ushauri wa mtu mwema huyu. Ccm wanakwenda kuingiza Nchi yetu shimoni, Watanzania tunapaswa kuungana kuokoa Nchi hii.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa JAJI KYANDE ni kwamba Waandamanaji walipata mafunzo na walilipwa. Nimemkumbuka ndugu MASTA TINDWA (R.I.P) aliefuatwa nyumbani na Kupigwa risasi hadi kufariki. Usiku wa jana NYALANDU kahojiwa na Sky news ya uingereza anaulizwa "nani alitoa amri ya kuuwa?" Anasema

Kwa mujibu wa JAJI KYANDE ni kwamba Waandamanaji walipata mafunzo na walilipwa.

Nimemkumbuka ndugu MASTA TINDWA (R.I.P) aliefuatwa nyumbani na Kupigwa risasi hadi kufariki.

Usiku wa jana NYALANDU kahojiwa na Sky news ya uingereza anaulizwa "nani alitoa amri ya kuuwa?" Anasema
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Father Kitima Aliongelea ishu ya ASKARI POLISI kuchukua majeruhi wa risasi mahospitalini na kupotea nao kusikojulikana. RIPOTI YA KYANDE imekausha hilo halijaongelewa kabisa kwenye ripoti yao. Kumbuka Father Kitima ni katibu wa TEC ambao wanamiliki Mahospitali kila kona ya nchi

Father Kitima Aliongelea ishu ya ASKARI POLISI kuchukua majeruhi wa risasi mahospitalini na kupotea nao kusikojulikana.

RIPOTI YA KYANDE imekausha hilo halijaongelewa kabisa kwenye ripoti yao. Kumbuka Father Kitima ni katibu wa TEC ambao wanamiliki Mahospitali kila kona ya nchi
Spana & V.A.R Movement (@spana_konki) 's Twitter Profile Photo

Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet 🙏🏽

Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet 🙏🏽