BRIGHT SALUMU (@brayoopro) 's Twitter Profile
BRIGHT SALUMU

@brayoopro

ID: 1691407287590481920

calendar_today15-08-2023 11:12:04

9,9K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

BRIGHT SALUMU (@brayoopro) 's Twitter Profile Photo

Mtu anayelipwa 200k akitoa 10k akakupa mana yake ametoa 5% ya mashahara wake kakupa wewe. Maana yake kunasiku kama mbili aliamka nyumbani kwake akaenda kazini kufanya kazi kwa ajiri yako. Jifunze kuwa Mwingi wa shukrani, na uthamini jitihada ambazo wanaweka wenzako kukupiga tag

Maverick🇸🇴 (@enemy_19) 's Twitter Profile Photo

Wanawake ambao bado mko chini ya miaka 30 kuna funzo mnapaswa mjifunze kwa Tiwa. Tiwa sasahivi anatamani kuwa ata mke wa pili, ila hapati wa kumuoa, siyo kwamba wanaume hawapo, wapo sana, Ila waoaji ndo hawapo though kuna kipindi alikataa kuolewa kipindi akiwa bado binti.

Wanawake ambao bado mko chini ya miaka 30 kuna funzo mnapaswa mjifunze kwa Tiwa. 

Tiwa sasahivi anatamani kuwa ata mke wa pili, ila hapati wa kumuoa, siyo kwamba wanaume hawapo, wapo sana, 

Ila waoaji ndo hawapo though kuna kipindi alikataa kuolewa kipindi akiwa bado binti.
BRIGHT SALUMU (@brayoopro) 's Twitter Profile Photo

Hii mtaa nayoishi iko na more churches than shops, lakini ile usherati iko hii mtaa apana chezaa, pia pastors wanakugongea.

Blessed Tillah (MBARIKIWA) (@tillahblessed) 's Twitter Profile Photo

Dodoma unapishana na ma- V8 na ma-Fortuner, yani magari expensive expensive tu 🙌🏾 Mbona nyie watu wa Dodoma hamsemi kama jiji lenu ni la kitajiri? 🤔