Mh.Mwamposa. (@boniphac_) 's Twitter Profile
Mh.Mwamposa.

@boniphac_

#NOBLEMAN
straight forward.

@yangasc1935

ID: 1405233174590984192

calendar_today16-06-2021 18:38:04

3,3K Tweet

1,1K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Kabigwa_Afya💊 (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa Homa ya Ini, Chanzo cha Homa ya Ini, Dalili, Matibabu na Namna ya Kuepukana na Kujikinga na Homa Hii, Uzi 🧵 Like & Repost 🔄 Kwa Ajili ya Afya za Wengine!

Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa Homa ya Ini, Chanzo cha Homa ya Ini, Dalili, Matibabu na Namna ya Kuepukana na Kujikinga na Homa Hii,

Uzi 🧵

Like & Repost 🔄 Kwa Ajili ya Afya za Wengine!
Bonge La Afya (@bongelaafya) 's Twitter Profile Photo

Sio chama cha madaktari, wataalamu wa maabara wala wauguzi wametoa neno. Chama cha wafamasia wameupiga mwingi sana kwenye hili.

Sio chama cha madaktari, wataalamu wa maabara wala wauguzi wametoa neno.

Chama cha wafamasia wameupiga mwingi sana kwenye hili.
Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke mwenye mzunguko wa siku 21 ambaye anaingia hedhi kwa siku 7. Siku yake ya hatari ya kubeba mimba inangukia siku ambayo bado yuko kwenye hedhi. Inabidi akutane na mtu wake siku ya hedhi ili mimba iingie. Bila kujua hilo anaweza kumaliza waganga wote akijua yeye ni mgumba.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wakuu kwa uhitaji wa huduma zifuatazo:- Professional business consulting,accounting & financial services, marketing,tax solutions, and strategic business advisory to help your business grow, adapt and succeed nicheck dm au email: [email protected] #MtuKaziSinaKazi

Mh.Mwamposa. (@boniphac_) 's Twitter Profile Photo

Hii ni mala ya pili Bon unashindwa kuchagua upande sahihi kama mfanya biashara, mtu akihusishwa na utapeli wa aina yoyote hata kama ni mwanao vipi kama yeye hajakanusha usije front kukanusha wewe na kuthibitisha ukaribu wenu, hii simply inakupunguzia imani

Mh.Mwamposa. (@boniphac_) 's Twitter Profile Photo

Tufanye kila muandamanaji alilipwa 10,000 Kwa siku Mwanza waandamanaji 100,000×10,000×SIKU 3=3B hapo bado Dar, Arusha, Tunduma, Mbeya, kahama, namanga na kwingineko

Tajiri Kichwa (@tkichwa) 's Twitter Profile Photo

Wakajua wameula pesa mtelezo ya bwerere masaa zaidi ya manne ya uchimbaji kila mwamba alilamba 1.2M tena cash malipo kabla ya kaz,walikua watu zaidi ya 120 majank mbalimbali wa mtaa bahati mbaya hakuna hata mmoja aliyekula hizo hela baada ya kazi Ilikua lazima siri itunzwe 😥

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Kama unapenda series za kijajusi za mashariki ya kati basi itafute series moja inaitwa THE SPY ina episodes 6 tu ni kali sana. Spy wa Israel anajipenyeza nchi ya waarabu anafanikiwa mpaka kuwa Waziri wa Ulinzi.

The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

"Kila siku alikuwa anapeleka mabunda ya pesa bank ila baada ya kufa tu Mke wake alifwatilia Bank akaambiwa hakuna pesa yeyote ambayo Mme wake alikuwa ameweka" ni maneno ambayo niliyasikia kutoka kwa wenyeji wangu wakipiga story Ilikuwa ni mwaka juzi wakati nipo Songea nilikuwa

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

FAIDA KWA WOTE. Kama Upo Busy Na Kazi Halafu watu wanakupigia simu kila wakati piga *#*#600400*#*# ataambiwa mwenye simu yupo mbali na simu na ukitaka kutoa piga #29#