Bob Chacha Wangwe (@bobwangwe) 's Twitter Profile
Bob Chacha Wangwe

@bobwangwe

🇹🇿Lawyer|Human Rights Activist|Agent of change|Ambivert||

ID: 2780451761

linkhttps://www.hrw.org/news/2019/10/28/witness-when-law-unjust-tanzania calendar_today22-09-2014 18:07:46

1,1K Tweet

32,32K Takipçi

663 Takip Edilen

BOBI WINE (@hebobiwine) 's Twitter Profile Photo

We express strong condemnation for the detention and deportation from Tanzania, of several respected Kenyan leaders including former Chief Justice Dr Willy M Mutunga, Chief Justice, Kenya (2011-16) and Martha Karua SC, SC. Others affected include renowned Kenyan activist Boniface The People’s Watchman and Agather Atuhaire from Uganda.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

UPDATE: Detention of Journalists Boniface Mwangi and Agatha Atuhaire We wish to provide a clarification regarding the status of Mr. Boniface Mwangi, a Kenyan journalist and human rights activist, and Ms. Agatha Atuhaire, a Ugandan journalist and lawyer, who were earlier

Nation Africa (@nationafrica) 's Twitter Profile Photo

BONIFACE MWANGI deported from Tanzania by road and abandoned in Ukunda, family confirms; rushed to hospital for medical review. nation.africa/kenya/news/afr…

BONIFACE MWANGI deported from Tanzania by road and abandoned in Ukunda, family confirms; rushed to hospital for medical review. nation.africa/kenya/news/afr…
Dr.Anyama Alfred Berliner (@drberlinermd) 's Twitter Profile Photo

Updates Breaking News: The People’s Watchman deported from Tanzania by road and abandoned in Ukunda, family confirms; rushed to hospital for medical review. Am here wondering where Agather Atuhaire has been dropped,this is worrying. #FreeAgatherAtuhaire #FreeBonifaceMwangi

Updates

Breaking News: The People’s Watchman  deported from Tanzania by road and abandoned in Ukunda, family confirms; rushed to hospital for medical review.

Am here wondering where Agather Atuhaire has been dropped,this is worrying.

#FreeAgatherAtuhaire
#FreeBonifaceMwangi
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

WATU WA MWANZA WALALAMIKA KUTAPELIWA NA CHAUMA. Juzi wakasomba Vijana kutoka Mwanza ili waje Dar kuongeza Idadi ya watu kwenye mkutano wao wa jana wakawapa ahadi kwamba watawapatia pesa ya maana njee ya nauli, chakula na malazi. Wengine wakaombwa wajilipie nauli zao ila

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amebainisha kwamba bado yupo Chadema na si kweli kwamba wote waliokihama Chama hicho siku za karibuni walikuwa wakimuunga Mkono aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Freeman

Bob Chacha Wangwe (@bobwangwe) 's Twitter Profile Photo

Mahabusu akitoa maelekezo kwa Mawakili wake. Kaka yake Adv. Alute anamuangalia mdogo wake kwa tafakuri. Sidhani kama hata anamsikiliza. Unadhani hapa anajisemea nini kichwani mwake? Mimi nadhani anasema “Dogo anapambana sana. Au Baba hakuuza ng’ombe kupeleka ng’ombe shuleni”.

Nimemsikiliza Gwajima. Huyu ndiye Gwajima tunayemfahamu. Haijalishi amekuwa kimya kiasi gani, kikubwa amesimama kuhesabiwa. Kuna watu wanasema ameng’ata na kupuliza. Maneno “sidhani” au “siamini”, hutumika kuepuka hatia ya kifungu cha 16 cha Cyber Crimes Act. Utekaji haikubaliki!

Miaka 11 iliyopita. Kuanzia kushoto ni mimi, Yericko Nyerere na Ben Rabiu Saanane. Hapa tulikuwa tumetoka kwenye kikao kazi kusukuma campaign ya #IPTLBringBackOurMoney”. Masikitiko yangu ni kuona ndugu yetu mwenye suruali ya mchele mchele ameyumba kwenye harakati.

Deogratias Munishi (@deomunishi) 's Twitter Profile Photo

I am 100% sure jana Mzee Ndesa Pesa alitabasamu kwa kishindo hiki cha wana More Town. Moshi ni moja ya sehemu ilikolala mizimu ya Mageuzi/ Chadema Tanzania. Watu na chama chao, Chama na watu wake ndio kama hivi.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Wako wapi watu wema? Yako wapi makanisa na misikiti. Wako wapi viongozi wastaafu… Inakuwaje kukemea utekaji na mauaji kwenye Nchi hii ni kosa? Kila mtu asimame ahesabiwe. Waovu wanataka kuzidi watu wema nguvu, mimi katika hili nasimama na Askofu Gwajima.

Tanzania Kwanza (@tz_kwanza) 's Twitter Profile Photo

Mwenye masikio asikie na Mwenye Macho aone #NoReformsNoElection Good explanations Bob Chacha Wangwe #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu #BringBackSoka #BringBackMdude #JusticeForAllVictims #FreeTanzania 🇹🇿 #CCM_MustFall Aluta Continua ✊🏿 Power to the people ✊🏿