BARÇAKID(@blackculer) 's Twitter Profileg
BARÇAKID

@blackculer

Culér💙❤| Taifa stars🇹🇿 fan |Against flat earthers 🚫

ID:1506298104051548164

calendar_today22-03-2022 15:54:05

8,2K Tweets

3,9K Followers

4,5K Following

CPA_Funyo(@FunyoJm) 's Twitter Profile Photo

Ni addiction gani mbaya sana ukiwa nayo ni ngumu kuacha kati ya hizi👇

1️⃣Pombe
2️⃣Sigara/Bangi
3️⃣Mademu
4️⃣Kubet
5️⃣Masturbation

Kama kuna nyingine taja⤵️

account_circle
M E C K I E🇹🇿(@mee_nicodemus) 's Twitter Profile Photo

Shida ni kwamba kila mtu anaona dini yake ni sahihi kuliko ya mwenzie.

ADVICE: Haijalishi mtu anasema mabaya au upotoshaji gani kuhusu dini yako, Hiyo izidi kuwa chachu kwako kufanya ibada na kufanya yale yampemdezayo Mungu kuliko kumkosoa na kuvunjiana heshima.

ASANTE.🙏🏼

Shida ni kwamba kila mtu anaona dini yake ni sahihi kuliko ya mwenzie. ADVICE: Haijalishi mtu anasema mabaya au upotoshaji gani kuhusu dini yako, Hiyo izidi kuwa chachu kwako kufanya ibada na kufanya yale yampemdezayo Mungu kuliko kumkosoa na kuvunjiana heshima. ASANTE.🙏🏼
account_circle
BARÇAKID(@blackculer) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa kama mkristo, haijalishi wa dhehebu gani, hatakiwi kuisupport Iran 🇮🇷 vile vile hutakiwi kuisupport Israel 🇮🇱Kama mkristo simama, ungana na himiza Amani!!
1 Wakorintho 13:4-8, Yohana 15: 12-13, Mathayo 5:15
Have a nice afternoon

Ukiwa kama mkristo, haijalishi wa dhehebu gani, hatakiwi kuisupport Iran 🇮🇷 vile vile hutakiwi kuisupport Israel 🇮🇱Kama mkristo simama, ungana na himiza Amani!! 1 Wakorintho 13:4-8, Yohana 15: 12-13, Mathayo 5:15 Have a nice afternoon #PeaceNotWar
account_circle
CERTIFIED HATER.🚀(@Noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS 🗞️

Singida yawaonya vikali Israel na Iran, watishia kupeleka vifaa vyao vya kivita kwenda kumaliza vita baina ya nchi hizo mbili.

BREAKING NEWS 🗞️ Singida yawaonya vikali Israel na Iran, watishia kupeleka vifaa vyao vya kivita kwenda kumaliza vita baina ya nchi hizo mbili.
account_circle
𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁(@KingPablotz) 's Twitter Profile Photo

I PABLO, Ninafurahi kushiriki habari njema kwamba nimekuwa sehemu ya familia ya Crown Media

Kufikia hatua hii imekuwa safari ndefu yenye changamoto nyingi, lakini kila hatua imekuwa ni sehemu ya safari yangu kuelekea kwenye ndoto yangu.

Asante kwa kuniamini na kunipa fursa

I PABLO, Ninafurahi kushiriki habari njema kwamba nimekuwa sehemu ya familia ya @CrownMediaTZ Kufikia hatua hii imekuwa safari ndefu yenye changamoto nyingi, lakini kila hatua imekuwa ni sehemu ya safari yangu kuelekea kwenye ndoto yangu. Asante kwa kuniamini na kunipa fursa
account_circle
Master(@alikomaster) 's Twitter Profile Photo

Wakuu nilibonyeza bahati mbaya button ya unfollow ikashusha mzigo wote
Kujeni tena niwafollow back ✊✊🔥

Wakuu nilibonyeza bahati mbaya button ya unfollow ikashusha mzigo wote Kujeni tena niwafollow back ✊✊🔥
account_circle
SATIVA17(@Sativa255) 's Twitter Profile Photo

Kila siku hao Iran wanashambulia Israel Jumamosi (siku ya Sabato).

Wajomba wakianza kazi kesho tusisikie reli zenu za kikuma sijui pray for iran.

account_circle