Bball Kitaa
@bballkitaa
Home of Sunday basketball and cypher sessions at Gymkhana Grounds from 4pm, be there.
ID: 924499987
http://www.facebook.com/bballkitaa 04-11-2012 02:37:40
5,5K Tweet
3,3K Followers
478 Following
James Ware361 Ballislife.com Dev Nderituโข๐ฐ๐ช NBA BballNaija Bball Kitaa Bball Pundit๐ฐ๐ช HoopsForHaiti #iHoopsBasketball Tv3 Tanzania Like u said everyone hoops๐
#KINGandQUEENofONEonONEtz tournament is the next revolutionary move from your beloved basketball platform Bball Kitaa !! Do you have the heart, moves, stamina and swag to take all comers?? Stay on this account for more details!!! OCTOBER IS COMING!! . . .
Shindano la #KINGandQUEENofONEonONEtz ndiyo mapinduzi yajayo kutoka jukwaa lako la mautundu ya mchezo wa kikapu Bball Kitaa Una mautundu, una pumzi, una mikogo ya kukuwezesha kuwatuliza wote watakaojitokeza kuusaka ubingwa!Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi!OKTOBA SIO MBALI!
Nani mkali wako wa 1on1 kitaani kwenu? ๐ฅ๐ฅ๐ฅ . . . Mtaje kwenye comments ili tumpe mualiko rasmi wa kushiriki #KINGandQUEENof1on1tz powered by Bball Kitaa OKTOBA HII!!