Tv3 Tanzania
@tv3tanzania
East African Sports & Lifestyle TV Station! StarTimes Decoder Ch: DTH (Dish)-197 & DTT (Antena)-131 #NowLive โฆ.๐น๐ฟ ๐ฐ๐ช ๐บ๐ฌ ๐ง๐ฎ ๐ฟ๐ฒ ๐จ๐ฉ
ID: 1389566498893672449
http://www.tv3.co.tz 04-05-2021 13:05:37
1,1K Tweet
501 Followers
24 Following
Hadi dakika ya 89 bado Mtibwaofficial walikuwa wanaongoza goli 2-0 dhidi ya Cosmopolitan Fc hapa katika uwanja wa Jamhuri Morogoro. NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) #Tv3Tanzania #GameOn
Hizi ni dakika za lala salama Mtibwaofficial wanaongoza goli 2-0 dhidi ya Cosmopolitan Fc hapa katika uwanja wa Jamhuri Morogoro @championshiptz TFF TANZANIA #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) #Tv3Tanzania #GameOn
#FT: @cosmopolitanfootballclub 0-2 Mtibwaofficial hapa katika uwanja wa Jamhuri Morogoro. NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA NBCTanzania #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) #Tv3Tanzania #GameOn
Goli la kwanza la Mtibwaofficial dhidi ya Cosmopolitan Fc mfungaji akiwa ni Omary Marungu dakika ya 5 tu na mchezo. NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish) #Tv3Tanzania #GameOn
"Wanachokifanya Mtibwa Sugar Fc (Mtibwaofficial) wanasimama katika misingi katika zile timu ambazo zinahitaji Ubingwa na ubingwa unapatikana kwa kukusanya alama nyingi kuliko timu nyingine yoyote" Deotraphe Tagato James ๎จ Musa Mkwaju #Dimbani
"Ukiangia uwiano wa magoli msimu uliopita na msimu huu namna ambavyo tumeianza Championship unaona tayari kuna utofauti kidogo, mpaka sasa yamefungwa magoli 25 michezo ya mzunguko wa kwanza na wa pili ukipiga hesabu kwa mechi 16 tuna wastani wa goli 1 kwa kila mchezo Musa Mkwaju
"Kwenye michuano yoyote ile kuna timu ambazo zinapewa kipaumbele, kuna timu ambazo hazipewi kipaumbele, ukizungumza kuhusu Championship ndio kwanza tupo Day 2, ukiangalia kwa upande wa ushindani... ushindani unaonekana ni mkubwa" Musa Mkwaju #Dimbani
Hili ndio lilikuwa goli la Andrew Simchimba anawapa goli Geita Gold Football Club dhidi ya wenyeji wao Transit Camp hapa katika uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo jijini Dar es Salaam na kuruka LIVE ndani ya stbongotv NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA NBCTanzania #Tv3Tanzania #GameOn
Hivi ndivyo Pius Enos alivyoipatia Geita Gold Football Club goli la pili dhidi ya wenyeji wao Transit Camp Fc katika uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo jijini Dar es Salaam na kuruka LIVE ndani ya stbongotv NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA NBCTanzania #Tv3Tanzania #GameOn
Hivi ndivyo Pius Enos alivyoipatia Geita Gold Football Club goli la pili dhidi ya wenyeji wao Transitcampfc katika uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo jijini Dar es Salaam na kuruka LIVE ndani ya stbongotv NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA NBCTanzania #Tv3Tanzania #GameOn
Hivi ndivyo Andrew Simchimba alivyoipatia Geita Gold Football Club goli la tatu dhidi ya wenyeji wao Transitcampfc katika uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo jijini Dar es Salaam na kuruka LIVE ndani ya stbongotv NBC Championship League ๐น๐ฟ TFF TANZANIA NBCTanzania #Tv3Tanzania #GameOn
Ni sifa ipi ya kukuvutia umewahi kuisikia kutoka kwa watu wanaoishi Mkoa wa Lindi? tuandikie hapa sisi @TV3TZ tumekuja hapa Lindi kuifuata @bigmanfootballclub itakayochesa kesho dhidi ya @cosmopolitanfootballclub kuanzia saa 8:00 mchana @championshiptz TFF TANZANIA
Tazama kwa makini picha hizi 7 alafu tuambie huu ni Mkoa gani ambao Jua bado linawaka hadi jioni hii? Kesho tunakusogezea mchezo wa @bigmanfootballclub dhidi ya @cosmopolitanfootballclub kuanzia saa 8:00 jioni na utaruka LIVE @tv3tz pekee. @championshiptz TFF TANZANIA