Bashiri Abdallah (@bashiriabdallah) 's Twitter Profile
Bashiri Abdallah

@bashiriabdallah

Mtanzania, Mwanasiasa, Nilikuwa Diwani kata ya Nyamisangura, Makamo M/kiti Halmashauri ya Mji Tarime na sasa M/Kiti CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini

ID: 1258740400384364545

calendar_today08-05-2020 12:52:34

133 Tweet

402 Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Dira gani ya kukandamiza wapinzani wa serikali? Dira: Mdude, Soka, Kipanya, Mlay na mamia ya watu hawajulikani walipo. Dira ya kweli ni ile inayolinda utu, uhuru, haki ya kuishi, demokrasia ya kweli na Uchumi wa watu wote. #NoReformsNoElection

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu, kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu; unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa yangu,daima naiona waziwazi dhambi yangu.." Zaburi 51:1-19

"Nihurumie, Ee Mungu,kadiri ya fadhili zako;ufutilie mbali makosa yangu,
 kadiri ya wingi wa huruma yako. Unioshe kabisa hatia yangu;

 unisafishe dhambi yangu.Nakiri kabisa makosa yangu,daima naiona waziwazi dhambi yangu.."  Zaburi 51:1-19
Bashiri Abdallah (@bashiriabdallah) 's Twitter Profile Photo

SUBRA,SUBRA,SUBRA CHAMA TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU VIONGOZI,WANACHAMA NA WAFUASI TUNAHITAJI UTULIVU, UVUMILIVU NA KUAMINI KUWA TUPO UPANDE SAHIHI. NGAZI ZOTE KUANZIA MSINGI,TAWI,KATA,JIMBO/WILAYA, MKOA, KANDA NA TAIFA ETI KUFANYA SIASA HAPANA. HIYO SI SAWA

SUBRA,SUBRA,SUBRA
CHAMA TUNAPITIA KIPINDI KIGUMU VIONGOZI,WANACHAMA NA WAFUASI TUNAHITAJI UTULIVU, UVUMILIVU NA KUAMINI KUWA TUPO UPANDE SAHIHI.
NGAZI ZOTE KUANZIA MSINGI,TAWI,KATA,JIMBO/WILAYA, MKOA, KANDA NA TAIFA ETI  KUFANYA SIASA HAPANA.

HIYO SI SAWA
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

CCM kwa sasa tunataka kujua wanaume mmebaki wangapi huko ndani so far tunawahesabu kwa mkono mmoja Wengine mmeufyata mnapelekeshwa na Bi Kizimkazi ? Kweli? Emmanuel Nchimbi upo? Nimekwambia we mnafiki hata kutetea haki na utaratibu ndani ya chama kama KM umeshindwa? We ni Mr Yes Man? 🚮

CCM kwa sasa tunataka kujua wanaume mmebaki wangapi huko ndani so far tunawahesabu kwa mkono mmoja
Wengine mmeufyata mnapelekeshwa na Bi Kizimkazi ? Kweli? <a href="/nchimbie/">Emmanuel Nchimbi</a> upo? Nimekwambia we mnafiki hata kutetea haki na utaratibu ndani ya chama kama KM umeshindwa? We ni Mr Yes Man? 🚮
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

"Wale waliokuja kumteka Dada yangu jana na kumtishia Bastola na kumfunga pingu ni WAHUNI na tunawajua iposiku wataanikwa" Polepole

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Msiogope kuongelea HAKI. Kwasasa mtu anaeongelea HAKI anaongena analeta FUJO. Serikali inataka kusikia story za AMANI tu. Msikilize POLEPOLE akiongelea HAKI. BILA HAKI HIYO AMANI HAIPO. TUTAKUWEPO🫵😎

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Yaani Samia Suluhu washauri wako Mapete na Mangele wamekupa huyu msanii akusaidie kumjibu Polepole 🤣🤣 Ama kweli CCM ina wenyewe na we si mmoja wao!

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Nimesoma Sheria ya mwenendo wa Makosa ya jinai, kanuni ya Ulinzi wa shahidi iliyotungwa hivi karibuni nimeshangaa sana, hakuna kabisa tofauti na Sheria mbalimbali Kandamizi zilizowahi kutungwa na wakoloni enzi zile. Kwamba Shahidi hatatakiwa kuonekana kwa mtu yeyote isipokuwa

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mgombea na mgombea mwenza walivyopanga kujipitisha bila kupingwa 👇🏾 Leo kisukari cha mama kitasumbua tena😁 #TutaelewanaTu #NoReformsNoElection

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨 AS SUSPECTED FRANCIS LUUMI WAS REMOVED FROM BUS AND COMPANY FAILED TO REPORT‼️🚨 Abood Bus remained mum about a passenger being abducted from their bus They should be sued! Ushauri: Mzee Francis Luumi awashtaki Abood na sisi tuwasuse! Huu ni USHENZI! Wangemwua ka mzee Ali

‼️🚨 AS SUSPECTED FRANCIS LUUMI WAS REMOVED FROM BUS AND COMPANY FAILED TO REPORT‼️🚨
Abood Bus remained mum about a passenger being abducted from their bus 
They should be sued!

Ushauri: Mzee Francis Luumi awashtaki Abood na sisi tuwasuse!  Huu ni USHENZI! Wangemwua ka mzee Ali
Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Nimewaza sana Kwahiyo kampuni ya Bus Abood huyu Mzee Francis Luumi alishushwa kwenye Bus lenu halafu mkajikausha.? Ndugu zake walivokuja ofsini kwenu siku mbili mnawazungusha mkawa mnasema kwamba hamjui kama alipanda au hakupanda gari lenu! Mkawa na viswahili vingi mara sijui

Nimewaza sana 

Kwahiyo kampuni ya Bus Abood huyu Mzee Francis Luumi alishushwa kwenye Bus lenu halafu mkajikausha.?

Ndugu zake walivokuja ofsini kwenu siku mbili mnawazungusha mkawa mnasema kwamba hamjui kama alipanda au hakupanda gari lenu!

Mkawa na viswahili vingi mara sijui
Bashiri Abdallah (@bashiriabdallah) 's Twitter Profile Photo

SUBRA,SUBRA,SUBRA ISTIQAAMA INAHITAJIKA SANA KATIKA NDANI NA NJE YA CHADEMA. WARAKA WA CHADEMA ULIOWAFANYA MAJIRANI WASHINDWE KULA NA KUNYWA. NO REFORMS NO ELECTION

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨‼️BREAKING NEWS🚨‼️ Unconfirmed reports indicate CCM will hold an emergency General Meeting online not physically 😁 Things are boiling nicely! #NoReformsNoElection

🚨‼️BREAKING NEWS🚨‼️
Unconfirmed reports indicate CCM will hold an emergency General Meeting online not physically
😁 Things are boiling nicely!
#NoReformsNoElection
Bashiri Abdallah (@bashiriabdallah) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa dhoruba na mitihani mingi unapaswa kuwa na upole, utulivu na uvumilivu. Hayo yote yatakuwa ndani ya SUBRA na Mwenyezi Mungu anawapenda na atawatunuku wenye SUBRA. NO REFORMS NO ELECTION

Wakati wa dhoruba na mitihani mingi unapaswa kuwa na upole, utulivu na uvumilivu.
Hayo yote yatakuwa ndani ya SUBRA na Mwenyezi Mungu anawapenda na atawatunuku wenye SUBRA.

NO REFORMS NO ELECTION