Baraka Marera (@barakamare65515) 's Twitter Profile
Baraka Marera

@barakamare65515

LIFE IS ALL ABOUT SKILLS .

ID: 1771905476046823425

calendar_today24-03-2024 14:23:05

1,1K Tweet

898 Followers

3,3K Following

Baraka Marera (@barakamare65515) 's Twitter Profile Photo

jioni ya leo nataka nipime uwezo wako wa kufikili ๐Ÿ˜‚swali:je eneo hili ni shughuli gani ya kiuchumi unayoweza kufanya tofauti na kilimo na uvuv??๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡

muda ndio jibu la maswali mengi yaliyo jificha twendelee kuwa wavimilivu na wapambanaji wakuu๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพmaisha ni ujuzi pambania ndoto zako ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Ni asubuhi ya utulivu kabisa siku nyingine ambayo MWENYEZI MUNGU ametupatia wewe kama familiaa endelea kupambana๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ™

kama umepata bahati ya kuingia mwezi huu mpya wa nane jambo la kufanya kwanza mshukulu mwenyezi MUNGU kwa imani yako kuifikia siku ya leo ila nawakumbusha kuweka malengo na mipango mwisho wa mwezi huu kufanya jambo itakupa takwimu nzuri kuufikia mwaka 2025 ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Baraka Marera (@barakamare65515) 's Twitter Profile Photo

" Unapojitahidi kuishi vizuri na watu katika mazingira tofauti tofauti ndo unajikuta unaharibu kwaiyo ishi maisha yako mpka wazoee๐Ÿ“Œ

Baraka Marera (@barakamare65515) 's Twitter Profile Photo

Hii itakuchukuwa muda kuielewa lakini kaa kitaalamu na uitafakali sasahivi media nyingi nchini zina mapresenter wa kike wengi sana nandio wanaendesha mijadala mingi sana unajuwa ni kwanini?? nipe jibu kwenye comment