Balozi la super feo 🐧 πŸ‡¦πŸ‡· (@balozinm) 's Twitter Profile
Balozi la super feo 🐧 πŸ‡¦πŸ‡·

@balozinm

Que sera sera

ID: 1467840340505812999

calendar_today06-12-2021 12:56:45

42,42K Tweet

4,4K Followers

792 Following

SEMAJI LA TAASISI ο£Ώ 𝕏 (@alfiejoh) 's Twitter Profile Photo

hizi picha hazihusiani na chochote Dj Piga Ile wanaimba bora niinjoyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tokomeza sufuria saivi sio masufuria ni sufuria moja limebakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hizi picha hazihusiani na chochote 

Dj Piga Ile wanaimba bora niinjoyπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tokomeza sufuria
saivi sio masufuria ni sufuria moja limebakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
SEMAJI LA TAASISI ο£Ώ 𝕏 (@alfiejoh) 's Twitter Profile Photo

kesho hamna gari itakayo kaaa mbele ya hili Bus la Taasisi kesho kuna mtu atamwaga DifuπŸ˜‚πŸ˜‚ Festo mnyama na T 966 DXF keka tunalifunga igumbilo na makambako πŸ™ŒπŸ™Œ

kesho hamna gari itakayo kaaa mbele ya hili Bus la Taasisi 

kesho kuna mtu atamwaga DifuπŸ˜‚πŸ˜‚

Festo mnyama  na T 966 DXF keka tunalifunga igumbilo na makambako πŸ™ŒπŸ™Œ
Muuza Dagaa (@beingwalaga) 's Twitter Profile Photo

SAMSUNG S20 FE (All colors) 128GB|Ram 6GB β€’ 440,000/=πŸ’° 6 Months warranty+ Free cover Delivery in & out the city (DSM) πŸ“Kariakoo,Infinix Tower Call/Whatsapp;0689773427 Naomba RT yako πŸ”₯πŸ”₯πŸ€πŸ™πŸΏ Cc B. D!CK

SAMSUNG S20 FE (All colors)

128GB|Ram 6GB

β€’ 440,000/=πŸ’°

6 Months warranty+ Free cover

Delivery in & out the city (DSM)

πŸ“Kariakoo,Infinix Tower

Call/Whatsapp;0689773427

Naomba RT yako πŸ”₯πŸ”₯πŸ€πŸ™πŸΏ

Cc <a href="/Noedson_tz/">B. D!CK</a>
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Siku nyingine mpya kabisa bwana tunashukuru kwa upendo wako kwetu. Sisi sio wenye haki sana mpaka tunaiona siku hii ila tuu kwa mapenzi yako. Sisi tulipanga yetu na ww unamipango yako juu yetu, tunaomba ukatimize kulingana na mapenzi yako. Kaangalie familia zetu, kwa hayo Amen.

Siku nyingine mpya kabisa bwana tunashukuru kwa upendo wako kwetu. Sisi sio wenye haki sana mpaka tunaiona siku hii ila tuu kwa mapenzi yako.

Sisi tulipanga yetu na ww unamipango yako juu yetu, tunaomba ukatimize kulingana na mapenzi yako. Kaangalie familia zetu, kwa hayo Amen.