Fighter Street (@fighterstreet52) 's Twitter Profile
Fighter Street

@fighterstreet52

Fighter Always Win.
Bsc Forestry student at Sokoine University of Agriculture.

ID: 1483145014439989260

calendar_today17-01-2022 18:32:25

19,19K Tweet

3,3K Followers

5,5K Following

Fighter Street (@fighterstreet52) 's Twitter Profile Photo

Oya 𝐊𝐒𝐫𝐒𝐠𝐒𝐭𝐒 nisaidie kuomba hii tenda chuma yangu inaweza kuvuta na gharama za kamba juu yangu DMg inatumia masaaa 17 barabarani Cc tunatumia mass 10 tumefika #Timekipaaa Sawa sawa😊

Oya <a href="/kirigitim/">𝐊𝐒𝐫𝐒𝐠𝐒𝐭𝐒</a> nisaidie kuomba hii tenda chuma yangu inaweza kuvuta na gharama za kamba juu yangu
DMg inatumia masaaa 17 barabarani
Cc tunatumia mass 10 tumefika #Timekipaaa
Sawa sawa😊
Fighter Street (@fighterstreet52) 's Twitter Profile Photo

Pale vigwaza ilikuwa inafanya nn ck4 na baada ya hapo tu kaingia kwenye uchaguz likiwa kule vingunguti baada ya yalitokea safari zika resume ikaenda test PuGu Ikataga ikiwa na mafundi juzi apo ina panda TDM mkeka wa lugono ilikuwa mbele masaa m4 lakini Uyole ikawa ya mwisho mtago

Fighter Street (@fighterstreet52) 's Twitter Profile Photo

Nimeongea na captain hapa kasema hajawai kupewa maelekezo yoyote ya ku tupa chuma nzima nzima so amesema anasubir barau ya maelekezo 😁🀝

Fighter Street (@fighterstreet52) 's Twitter Profile Photo

Ankoo Jana mlifungua kwakua mlipiga Cm kwa wazee wa Suti na hutuku lalamika maana tunajua chuma ya Taifa bila figisu Huwezi kuona ata taa za nyuma