Hamiss Bakiza (@bakizahamiss) 's Twitter Profile
Hamiss Bakiza

@bakizahamiss

Prince Bakiza

ID: 1221187494466768903

calendar_today25-01-2020 21:46:28

35,35K Tweet

2,2K Followers

4,4K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Uchaguzi Mkuu wa 2015, CHADEMA tulipata madiwani 1,182 wa kuchaguliwa. Madiwani wasiozidi 190 walihamia CCM hadi 2020. Anaekueleza CHADEMA inakufa 2025 kwa kuwa WAHUNI wasiozidi watano wamehamia CCM, HAJIELEWI. HUMAN TRAFFICKING haiwezi kumalizika wakati MALAYA wapo katika siasa.

Cyancute ⭐ (@cyancutytz) 's Twitter Profile Photo

NIMEFURAHI 🤝😹 Posti zote za Maandamano zipewe #REPOSTI DUNIA INATAKIWA KUONA Jeshi la wananchi lipo na wa Tanzania 🇹🇿 Hakuna uchaguzi hapa Tutaanza moja wananchi wameamua jambo lao

C H A M P (@mpambazi) 's Twitter Profile Photo

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Leo tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku ya Maandamano ya amani TZ kupinga maovu mbali2 dhidi ya wananchi ikiwa ni pamoja na KUTEKWA na kuuwawa. Kuandamana ni HAKI na FURSA yako mwananchi Kikatiba ili kupaza sauti ya pamoja ITAKAYOSABABISHA maovu hayo kukomeshwa

BOBI WINE (@hebobiwine) 's Twitter Profile Photo

Standing in solidarity with the great people of Tanzania who are defying odds to protest against electoral injustice and impunity! Standing in solidarity with comrade Tundu Lissu, the main opposition leader who remains detained since April and his party CHADEMA banned from

Standing in solidarity with the great people of Tanzania who are defying odds to protest against electoral injustice and impunity! Standing in solidarity with comrade Tundu Lissu, the main opposition leader who remains detained since April and his party CHADEMA banned from
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨WAMERUDISHA INTERNET ZA FIBER ILI WAO WAFANYE KAZI WAMEZIMA MOBILE DATA‼️ Jamani fiber data iko on! Ndo maana Gerson Msigwa ana post! Wemye fiber internet wekeni password zenu 0000 ili watu watumie mitaani! Na pia wananchi wa Dar waende kusalimia TCRA Haikubaliki 💪🏽

‼️🚨WAMERUDISHA INTERNET ZA FIBER ILI WAO WAFANYE KAZI WAMEZIMA MOBILE DATA‼️
Jamani fiber data iko on! Ndo maana <a href="/MsigwaGerson/">Gerson Msigwa</a> ana post! Wemye fiber internet wekeni password zenu 0000 ili watu watumie mitaani! 
Na pia wananchi wa Dar waende kusalimia TCRA 
Haikubaliki 💪🏽
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

JWTZ JWTZ JWTZ nawaita mara 3, kwanza kabisa Ahsanteni kwa ulinzi mliotoa jana kwa wananchi. Hakika nyinyi ni jeshi la wananchi, sijui tutawalipa vipi jeshi letu, tuna deni kubwa kwenu. Ombi langu kwani ni tafadhali ingilieni kati sasa hivi. Samia na toto lake jangili wanafanya

JWTZ JWTZ JWTZ nawaita mara 3, kwanza kabisa Ahsanteni kwa ulinzi mliotoa jana kwa wananchi. Hakika nyinyi ni jeshi la wananchi, sijui tutawalipa vipi jeshi letu, tuna deni kubwa kwenu. Ombi langu kwani ni tafadhali ingilieni kati sasa hivi. Samia na toto lake jangili wanafanya
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Jamani, JWTZ haipo mitaani kutusaidia kuchukua madaraka. Kwa hatua hii, liko nasi kutupa ulinzi tu. Ni JUKUMU letu kuchukua madaraka yetu. JWTZ ina maadili yake na viapo & itachukua nchi pale tu ambapo nchi itashindwa kutawalika tena & Serikali kupoteza UHALALI, na hili huwa

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Gen-z wa Dar es salaam wanaendelea kuwasha moto, wanakinukisha vibaya sana. Mliokaribu na Idd Amin Mama mwambieni afute Uchaguzi la sivyo Dar itageuka kuwa majivu. #Mo29

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Tulipowaambia watuachie nchi yetu walituona wapuuzi kama wao. Oohh watz hawawezi kuandamana. Pumbavu zao kipindi hiki Gen-Z tumewaonyesha sisi sio wale wanaowasomba kwenye malori

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Askari wetu wa JWTZ, tunaomba msaada Tunduma mtaa wa Sogea. Polisi wanapiga sana raia. Raia wa Tunduma, msikae kizembe. Unganeni mpepetane na hao mbwa. Stand firm tuondoe utawala wa damu. #MO29

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Maandamano yanaendelea maeneo mbalimbali ya nchi hakikisha unaungana na waandamanaji ambao wapo eneo la jirani na ulipo wewe. Ukombozi unakaribia tukaze buti. #Mo29💪🏻