BABU-shamba (@babu_shamba) 's Twitter Profile
BABU-shamba

@babu_shamba

Baba/mkulima / mtamaduni/ Picha 📸

ID: 1323365317037510657

calendar_today02-11-2020 20:44:42

6,6K Tweet

726 Followers

518 Following

Beno Lyimo (@iamlyimo) 's Twitter Profile Photo

Je bado unawaza ni namna gani utapendezesha bustani yako ya nyumbani,ofisini,shuleni au hotelini??Miti ya vivuli na maua ya kupendezesha bustani yako ipo. Karibuni🌱 Call 📞0754302242

Je bado unawaza ni namna gani utapendezesha bustani yako ya nyumbani,ofisini,shuleni au hotelini??Miti ya vivuli na maua ya kupendezesha bustani yako ipo. Karibuni🌱
 
Call 📞0754302242
Zuwena Khatib (@zuwenakhatib) 's Twitter Profile Photo

Habari, Am currently preparing an article on "How poor rural infrastructure affects market access and post harvest loss" I'M LIVING BLESSED Omary Mwaimu Jason J. Kanan Tabasamfarm Carol Ndosi Kindly assist to tag and share this. Thank you 🙏

Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Ukifanya zero grazing kwa mbuzi alafu unapata mbuzi kama huyu in the end of 8 months. Hapa quit kwanza, wachunge, vizia kilo 20 uwauze. Zero grazing ni mkakati Fanya kwa maarifa na TARGET monitor muendelezo bila hivo Gharama zitakuja juu Faida kiduchu.

Ukifanya zero grazing kwa mbuzi alafu unapata mbuzi kama huyu in the end of 8 months.

Hapa quit kwanza, wachunge, vizia kilo 20 uwauze.

Zero grazing ni mkakati 

Fanya kwa maarifa na TARGET 

monitor muendelezo bila hivo 

Gharama zitakuja juu 

Faida kiduchu.
Thomas-Josephat (@thomasjosephat3) 's Twitter Profile Photo

THE HIDDEN WEALTH BEHIND RICE FARMING ["Rice is more than just a food crop---it's a powerful engine for wealth creation, food security, and national development. Here are key reasons why Rice farming holds immense potential"].

THE HIDDEN WEALTH BEHIND RICE FARMING 
   ["Rice is more than just a food crop---it's a powerful engine for wealth creation, food security, and national development. 
     Here are key reasons why Rice farming holds immense potential"].
Omary Mwaimu (@omarymwaimu) 's Twitter Profile Photo

Just trained 270 rice farmers in Malinyi & Mlimba on treating farming as a business. Now they have budgets, calendars, savings plans — and confidence. Thanks 360connects 📍Njiwa | Mtimbira | Chita #FarmingAsABusiness #agribusiness

Just trained 270 rice farmers in Malinyi & Mlimba on treating farming as a business.
Now they have budgets, calendars, savings plans — and confidence.
Thanks <a href="/360connects/">360connects</a>
📍Njiwa | Mtimbira | Chita
#FarmingAsABusiness #agribusiness
Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Ili mtaji usichomeke Muda usipotee Nitakusaidia mentorship baada ya kukuandalia business plan kuhusu ufugaji samaki.. > Gharama za uwekezaji > Gharama za kuendeshea > Maelezo juu ya malisho & matibabu > Mpango wa upanuzi wa biashara Tuwasiliane.. wa.me/255716678399

Ili mtaji usichomeke

Muda usipotee

Nitakusaidia mentorship baada ya kukuandalia business plan kuhusu ufugaji samaki..

&gt; Gharama za uwekezaji 
&gt; Gharama za kuendeshea
&gt; Maelezo juu ya malisho &amp; matibabu
&gt; Mpango wa upanuzi wa biashara 

Tuwasiliane..
wa.me/255716678399
Bwanashamba wa taifa 🇹🇿 (@msakufarm) 's Twitter Profile Photo

Huko miaka ya mbeleni tuje Kuwa na maonesho ya Mashamba ya 88,Yaani Hapa halmashauri walime Ekari na kuendelea Sio kupanda vipando Vya 2 kwa 5. #tukafosichaka