Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile
Swahili Agribusiness 🇹🇿

@haroldmafita97

Climate Sensitive Livestock Farming - DAIRY FARMING & BEEF FATTENING ACTIVIST 🥩🐄
Consultancy - 0716678399

- Ford Ranger Farmer 🛻

📍Dar es Salaam, Tz.

ID: 1373719798442565635

linkhttps://wa.me/255716678399 calendar_today21-03-2021 19:35:30

10,10K Tweet

3,3K Followers

3,3K Following

Swahili Agribusiness 🇹🇿 (@haroldmafita97) 's Twitter Profile Photo

Ukifanya zero grazing kwa mbuzi alafu unapata mbuzi kama huyu in the end of 8 months. Hapa quit kwanza, wachunge, vizia kilo 20 uwauze. Zero grazing ni mkakati Fanya kwa maarifa na TARGET monitor muendelezo bila hivo Gharama zitakuja juu Faida kiduchu.

Ukifanya zero grazing kwa mbuzi alafu unapata mbuzi kama huyu in the end of 8 months.

Hapa quit kwanza, wachunge, vizia kilo 20 uwauze.

Zero grazing ni mkakati 

Fanya kwa maarifa na TARGET 

monitor muendelezo bila hivo 

Gharama zitakuja juu 

Faida kiduchu.