Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile
Ayubu Madenge

@ayubu_madenge

Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people

ID: 741669824682700800

calendar_today11-06-2016 16:34:00

26,26K Tweet

370,370K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limetengeneza vitofali maalumu vya kupikia kwa kutumia mabaki ya makaa ya mawe. Havina moshi na vinawaka masaa 2 mfululizo. Pia unaweza kuzima ukavitumia tena siku ya pili, Kilo 1 ni sh 1,000. Vinapatikana Sabasaba banda la Wizara ya Madini.