Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile
Ayubu Madenge

@ayubu_madenge

Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people

ID: 741669824682700800

calendar_today11-06-2016 16:34:00

26,26K Tweet

370,370K Followers

1,1K Following

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

“Wizara ya maji ina mpango wa kuanzisha Gridi ya taifa ya maji kama ilivyo Gridi ya umeme, ambapo maji yatakuwa yanachukuliwa kwenye vyanzo vikubwa vya maji kama ziwa victoria na Tanganyika halafu yanasambazwa kwa watu na maeneo yenye uhitaji” Domina Msonge, Wizara ya Maji

Wengi wameona habari ya ugunduzi wa dawa ya lenacapavir ya Marekani inayozuia maambuzi ya HIV kwa zaidi ya 99.99%. Ila wachache wametambua kuwa miongoni mwa jopo la wataalamu walio gundua dawa hiyo ni Muafrika kutoka Uganda yaani Dkt Alex Kintu mwenye PhD toka Harvard University.

Mechi ya Al Ahly dhidi ya Palmeiras iliyokuwa inaendelea muda huu imesimamishwa sababu kuna dalili ya mvua kunyesha tena yenye radi kali, hivyo wachezaji na mashabiki wametolewa uwanjani ili kulinda usalama wao.

Tanguliza haya; 1. Afya yako 2. Familia yako 3. Malengo yako 4. Heshima na utu wako 5. Mchango wako kwa jamii 6. Uhusiano wako na MUNGU

Tanguliza haya;
1. Afya yako
2. Familia yako
3. Malengo yako
4. Heshima na utu wako
5. Mchango wako kwa jamii
6. Uhusiano wako na MUNGU
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kanisa Katoliki nchini Tanzania limetangaza kufanya sala na mafungo siku ya tarehe 23 Agosti 2025 kwa ajili ya kuombea Haki na Amani nchini. Wito huo umetolewa rasmi na baraza la maaskofu la Kanisa hilo hapa nchini (TEC) kupitia barua itakayo sambazwa kila parokia na kila kigango

MUNGU akikupa nafasi nyingine ya kuwa na mwanzo mpya, kamwe usirudie makosa ya zamani. Vua vazi la watu waliokurudisha nyuma, mawazo duni na maisha yaliyokuzuia kupiga hatua. Jitwike sura ya mtu mwenye kiu ya kuandika historia mpya ya maisha ya mafanikio, amani, furaha na utulivu

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Jorginho ambaye kwa sasa anaichezea Flamengo ya Brazil amelitawala sana dimba la leo dhidi ya Chelsea, amethibitisha kuwa yeye ni Mkongwe kwenye game, kina Enzo na Caicedo watakuwa wamejifunza kitu. Halafu kocha wa Flamengo ni Filipe Luis ambaye ni mchezaji wa zamani wa Chelsea.

Account rasmi za timu ya Barcelona zimepost picha hii ya Gavi akiwa mbugani nchini Tanzania. Bado ninaamini kuna namna bora zaidi ya kutumia fursa za ujio wa watu hawa mashuhuri kuitangaza nchi yetu na sekta ya Utalii kwa ujumla.

Kanisa Katoliki nchini Tanzania limezuia rasmi kuwapa nafasi viongozi wa Kisiasa na Kiserikali kuongea, kutoa hotuba, Pongezi na kusalimia mbele ya waumini ndani ya Kanisa. Waraka wa kuzuia jambo hilo umetolewa na baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC).

Alaina wa Scotland alipokuwa binti wa miaka 12 aliandika ujumbe kwenye karatasi na akasema atakao upata ujumbe huo aujibu, kisha akauweka kwenye chupa akaitupa baharini. Miaka 30 imepita na sasa ana miaka 42, hatimaye chupa hiyo imeokotwa ufukwe wa Norway na aliyeokota amejibu.

Lucas Ribeiro Costa wa Mamelodi amewafunga goli kali sana Dortmund, halafu Ronwen Williams kipa wao mzoefu kabisa anachoma kizembe anawapa nafasi Dortmund wanazawazisha.

Kijana kwenye dunia ya sasa ukikutana na binti ambaye anasimama na wewe katika nyakati zako ngumu. Binti anayekuamini hata pale ambapo wewe unashindwa kujiamini. Binti anayejivunia kuhusu wewe, anayekuheshimu, anakujali na anakupenda. Usihangaike na muonekano wake, huyo ni mali.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Rais Trump amethibitisha kuwa ndege za Marekani zimeshambulia kikamilifu maeneo 3 ya Iran yenye Nuclear. Trump amelipongeza jeshi la Marekani kwa kusema kwamba hakuna jeshi jingine lolote duniani ambalo lingeweza kufanya hivyo. Amemaliza kwa kusema kwamba sasa ni muda wa Amani.

Baada ya Marekani kushambulia maeneo matatu ya Nuclear ya Iran, Rais Trump amesema kwamba sasa Iran inabidi ichague kutengeneza amani, iwapo haitafanya hivyo na ikajaribu kujibu mapigo basi mashambulizi yajayo yatakuwa makubwa zaidi halafu yatafanyika kwa njia rahisi zaidi.

Kwenye jukwaa la taasisi ya Mo Ibrahim 2019, Tajiri Dangote alisema miaka ya mwanzo ya biashara zake alienda benki akatoa Tsh Bilioni 27 kwenye account yake, akaziweka kwenye gari akaenda nazo nyumbani. Alipofika kwake akazitazama pesa hizo na ndipo akakubali kuwa yeye ni tajiri.

Leo Selemani Mwalimu kijana wetu kutoka Tanzania amecheza mechi ya kombe la dunia la vilabu dhidi ya Juventus ya Italia. Kwenye dakika zote 45 alizocheza, Mwalimu amepiga pasi zote kwa usahihi bila kupoteza hata moja na amepiga shuti lilolenga goli. Respect kwake.