GEAS COMPANY LIMITED. "Security Services Company"
@asilageorge
One destination for IT, IOT, Security systems, Fire protection and HVAC,we are experts in consultation, solutions development, installation and after Services
ID: 705032345947152384
http://www.geas.co.tz 02-03-2016 14:09:44
67 Tweet
216 Followers
1,1K Following
🔬Sheria zimeweka bayana kwamba mtu alikamatwa na Polisi kwa kosa lolote apewe dhamana, aachiwe huru au afikishwe mahakamani ndani ya masaa 48. Police Force TZ wanavunja sheria huku wakitegemea wananchi watii sheria? #FreeIdrisSultan sio JAMBAZI wala sio mhalifu. Acheni dhulma & uonevu.
"Kitu nimejifunza kwenye maisha yangu ni kuomba msamaha pindi nnapokosea,haijalishi hata kma Kitu sijakosea,hili niwe na amani ya Moyo, Na ikitokea mimi nimekosewa ,basi Ujitahidi kusamehe papo hapo." mpambazi julius Lusajo L.M. ™ | 1440 Araphat Maarifa Chief Mirambo @LucasbrownTz
“Hakuna KAZI nyepesi kama kusifu; watawala hata U-DC wanakupa kwa kuwasifu tuu; tumeamua kusimamia haki & demokrasia lkn watanzania hawajielewi, wanamezeshwa Propaganda; sisi tumefanywa maadui wa serikali tunao wapigania hawajielewi, naenda retreat kufanya meditation Kigogo Media”
Mhe. Samia Suluhu unapaswa kumuomba radhi Tundu Antiphas Lissu na umma mzima wa Watanzania. Hatutaki kujua ni askari mliyemtuma au Lah! Miaka 3 mmeshindwa kutupa majibu na Report ya Balozi Adadi mmeizuia na kumvua Ubunge kwa hila. Mtaficha hadi akhera? Mungu yupo na mtalipa TU!