Victor Mgawe (@vicmgawe) 's Twitter Profile
Victor Mgawe

@vicmgawe

ID: 590740589

calendar_today26-05-2012 08:46:45

5,5K Tweet

641 Takipçi

626 Takip Edilen

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Kama bado unaiamini Siasa basi tambua leo Martin MM, Boni Yai, Kigwangalla, Papaa Mchoyo, Mbowe, Haji Manara wapo timu moja dhidi ya Lissu, Heche, Lema, maria sarungi….! Who would’ve thought? And that is POLITICS mazafanta

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Ngoja kwanza, hata Boni Yai kushinda mnataka kusema ni CCM ndio wamemtaka over You? Hizi excuse zimefika mbali sana wazee wangu, boni yai hadi CCM wamemtia ndani asishinde, na akakushinda akiwa jela

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Maria Sarungi Maria Sarungi Tsehai has been abducted in Nariobi by armed men this afternoon. She was making her way out of Yaya Centre. They abducted her before she took a cab. We cannot establish her whereabouts or where she’s being held. Help us find Maria. #FreeMariaSarungi

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

FAM hajasema kwanini achaguliwe tena baada ya kuongoza CDM miaka 21. Yeye na wafuasi wake wanapata tabu kuweka na kutetea maudhui yake X. Hakuna opinion poll imempa ushindi. Influencers wameshindwa kazi. Kwanini haoni ishara? Ataongoza movement ipi ikiwa amekataliwa?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Salaam wapendwa, Kwa miezi kadhaa mmekuwa mkiniuliza msimamo wangu juu ya mgombea yupi namuunga mkono nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa na Makam Mkt. Nimetafakari kwa kina juu ya wagombea wote, nimetafakari juu ya siasa zetu za nchi huku nikizingatia ukubwa wa kazi ya

Salaam wapendwa,

Kwa miezi kadhaa mmekuwa mkiniuliza msimamo wangu juu ya mgombea yupi  namuunga mkono nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa na Makam Mkt.

Nimetafakari kwa kina juu ya wagombea wote, nimetafakari juu ya siasa zetu za nchi huku nikizingatia ukubwa wa kazi ya
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Msifurahie tu ushindi wa Lissu, furahieni uwazi na demokrasia ambayo CHADEMA imeonesha. Furahieni ukomavu wa Freeman Aikaeli Mbowe kukubali matokeo bila ulalamishi tena kwa haraka. CCM ina cha kujifunza kutoka CHADEMA It isn't a taboo kugusa fomu anayogusa mwenyekiti wa Chama

Michael Baruti (@michaelbaruti) 's Twitter Profile Photo

And Mbowe anastahili heshima yake for what he has done kwa demokrasia ya nchi hii kwa miaka yote… Historia ya vyama vingi haiwezi kumsahau hata kidogo……

Victor Mgawe (@vicmgawe) 's Twitter Profile Photo

Tukifanya kila mabadiliko ya kawaida ya kiuongozi yaonekane ni “udikteta,” basi tutapoteza dira ya kupambanua kati ya taasisi imara na migogoro ya watu.