TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile
TEMEKE MANISPAA

@temekemc

TOVUTI RASMI YA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TEMEKE KATIKA TWITTER.

Instagram:@temekemanispaa
YouTube:TMC TV.

ID: 765868958339723264

linkhttp://www.temekemc.go.tz/ calendar_today17-08-2016 11:12:43

237 Tweet

186 Takipçi

30 Takip Edilen

TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya ametembelea eneo la mradi wa ujenzi wa daraja la Kijichi kukagua maendeleo ya ujenzi huo, TEMEKE TUPO KAZINI. #temekempya #kaziiendelee @innobash Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali Jokate Mwegelo

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya ametembelea eneo la mradi wa ujenzi wa daraja la Kijichi kukagua maendeleo ya ujenzi huo, TEMEKE TUPO KAZINI.

#temekempya #kaziiendelee

@innobash
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Jokate Mwegelo
TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI YATANGAZA OPERESHENI MAALUM KUTUNZA MTO KIZINGA. "Tumekubaliana kuwa siku ya Jumatatu na Jumanne tutaanza kazi ya kuelimisha wananchi kwa Kata tatu na Mitaa yake na kuweka mabango ya makatazo kwenye mita 60 ili watu wasiendelee na shughuli zozote katika maeneo hayo".

SERIKALI YATANGAZA OPERESHENI MAALUM KUTUNZA MTO KIZINGA.
"Tumekubaliana kuwa siku ya Jumatatu na Jumanne tutaanza kazi ya kuelimisha wananchi kwa Kata tatu na Mitaa yake na kuweka mabango ya makatazo kwenye mita 60 ili watu wasiendelee na shughuli zozote katika maeneo hayo".
TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile Photo

"Kwa umoja wetu,tumefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo kwa mwaka uliopita ambapo tuliweza kukusanya bilioni 39.9 kutoka lengo bilioni 37, tumelenga kukusanya bilioni 43.1 kwa mwaka huu wa fedha. -Elihuruma Mabelya

"Tumefanikiwa kusuluhisha migogoro mbalimbali ya ardhi, tumekamilisha miradi ya elimu kwa kujenga shule mpya ya sekondari Dovya, tumenunua madawati zaidi ya 7,800 kwa mapato ya ndani, tumejenga vituo vitatu vya Afya kwa jumla ya shilingi Bilioni 1.1 na mengineyo mengi."

TAARIFA KWA UMMA. @samia_suluhu_hassan @AmosMakalla @jokatemwegelo @abdallah_mtinika @elihurumamabelya Bupe hezron  @ortamisemi @msemajimkuuwaserikali Gerson Msigwa @ikulu_mawasiliano @owm_tz Innocent Bashanako @kassim_m_majaliwa @dc_temeke Sautiyajiji_daressalaam @dc_temeke

TAARIFA KWA UMMA.

@samia_suluhu_hassan @AmosMakalla @jokatemwegelo @abdallah_mtinika @elihurumamabelya Bupe hezron  @ortamisemi @msemajimkuuwaserikali Gerson Msigwa @ikulu_mawasiliano @owm_tz Innocent Bashanako @kassim_m_majaliwa @dc_temeke Sautiyajiji_daressalaam @dc_temeke
TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa manispaa ya Temeke ndugu Elihuruma Mabelya Oktoba 7,2022 amekutana na TABOA na DARCOBOA ambao ni Wamiliki wa Mabasi, pamoja na Wadau mbalimbali kujadili kuhusu kuanza kutumika kwa Stendi ya Kijichi kwa safari za Mikoani.

"Tumedhamiria soko hili litumike kwa vitendo kwani Serikali haijawahi kushindwa jambo ambalo imedhamiria. Kutokana na uwekezaji uliowekwa katika soko hili umeamsha ari kwa Wananchi kufanya shughuli za maendeleo, hivyo Serikali imeazimia kwa vitendo".

"Nawaomba viongozi wachaguliwa na watendaji wa Manispaa tuheshimu pesa ya Serikali.Wananchi Wana shida sana,wanataka maendeleo"-Dc Sixtus Mapunda

"Tumieni walimu wachache waliopo lakini kwa mfumo wa kisasa.Dunia nzima sasa hivi unaweza kumfundisha mtoto mwalimu akiwa darasani Marekani,unachohitaji ni internet na screen kubwa.Mimi nitawasaidia tufike huko".DC Sixtus Mapunda

"Tumefanya semina hii kuwajengea uwezo viongozi wa dini ambayo kimsingi imewezeshwa na UN Women....tunaaneo yao (Kanisani na Misikitini) kuwasaidia waumini kuelewa uwezo wa Mwanamke katika nyanja mbalimbali hasa katika Uongozi na Uchumi" Alisema Bi.Herrieth

"Mpango huu wa kugawa upya maeneo ya kiutawala una lengo la kusogeza huduma kwa Wananchi,asitokee mtu akadhani ni suala la kisiasa maana hata hiyo siasa kwa wakati huo tunaweza tusiwepo"-Mstahiki Meya Abdallah Mtinika Samia Suluhu Dr. Philip Isdor Mpango Kassim Majaliwa Majaliwa Msemaji Mkuu wa Serikali

"Mpango huu wa kugawa upya maeneo ya kiutawala una lengo la kusogeza huduma kwa Wananchi,asitokee mtu akadhani ni suala la kisiasa maana hata hiyo siasa kwa wakati huo tunaweza tusiwepo"-Mstahiki Meya Abdallah Mtinika

Samia Suluhu Dr. Philip Isdor Mpango Kassim Majaliwa Majaliwa Msemaji Mkuu wa Serikali
TEMEKE MANISPAA (@temekemc) 's Twitter Profile Photo

"Ifahamike kwamba hakuna kiwanda cha damu, ili kuokoa maisha ya mwananchi ni sisi wenyewe tunapaswa kuchangia, nimeona ni vema kutoa sehemu ya damu yangu kwa ajili ya kuokoa maisha ya wananchi wenzangu" - Mkurugenzi Mabelya

"Serikali ina Majukumu makubwa mawili, Jukumu la kwanza ni Utawala na la pili ni kuwaletea Wananchi Maendeleo. Wajibu wetu Sisi Viongozi ni kukidhi matarajio ya Wananchi kwa Serikali yao".Jomary Satura-Mkurugenzi manispaa Temeke.