Duke Sam (@sim0xonz) 's Twitter Profile
Duke Sam

@sim0xonz

ID: 1273590206743162890

calendar_today18-06-2020 12:16:11

55,55K Tweet

3,3K Takipçi

2,2K Takip Edilen

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Ujue ni ngumu kupata mkopo au misaada kutoka Nje ya nchi hasa kwa wazungu… Kama Bungeni hakuna UPINZANI… wa kufanya Oversight… balance and checks. Na ndio maana Serikali nyingi huwa wanajitahidi Kutengeneza UPINZANI ambao wanaweza kuwamudu… MPINZANI

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Jeremiah 29:11 For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.

Jeremiah 29:11

For I know the plans I have for you,” declares the Lord, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
The Chanzo (@thechanzo) 's Twitter Profile Photo

Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07 Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba 1 mpaka 7, kuwa wiki ya mashujaa wa kidemokrasia, ambapo kilele chake itakuwa ni

Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07

Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba 1 mpaka 7, kuwa wiki ya mashujaa wa kidemokrasia, ambapo kilele chake itakuwa ni
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Mwalimu wangu Tundu Lissu. Na mzee wangu, Cde Jenerali Ulimwengu. Cde Ulimwengu alimtembelea Mwl wangu hospitali Nairobi akiwa na mke wake, auntie J. Walimuunga mkono. Leo—kila siku, Jenerali yuko Kisutu. I mean, The Ulimwengus are Lissus. We are TAL. #IamTunduLissu.

Huyu ni Mwalimu wangu Tundu Lissu.

Na mzee wangu, Cde <a href="/raiyajenerali/">Jenerali Ulimwengu</a>. 

Cde Ulimwengu alimtembelea Mwl wangu hospitali Nairobi akiwa na mke wake, auntie J.

Walimuunga mkono.

Leo—kila siku, Jenerali yuko Kisutu.

I mean, The Ulimwengus are Lissus.

We are TAL. #IamTunduLissu.
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kusikia hizi kauli kwa watoto waliotoka familia tajiri, masikini wakipata ndio huwa wanaona wasio na kazi ni wavivu

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Huyu ni Mwalimu wangu Tundu Lissu na mshirika wangu Mdude Nyagali. Walikuwa wakifurahia jambo. Mtu mmoja mjinga Ikulu akaona sio vema. Akamteka Mdude na kumpoteza. Uzuri ni ninawafahamu hawa wapumbavu. Na tutawachukulia hatua. Thanks, Mdude. MimiNiMdude. #IamTunduLissu

Huyu ni Mwalimu wangu Tundu Lissu na mshirika wangu Mdude Nyagali. 

Walikuwa wakifurahia jambo.

Mtu mmoja mjinga Ikulu akaona sio vema.

Akamteka Mdude na kumpoteza.

Uzuri ni ninawafahamu hawa wapumbavu.

Na tutawachukulia hatua.

Thanks, Mdude. 

MimiNiMdude. #IamTunduLissu
Uncle Borabora🚀 (@rony__jons) 's Twitter Profile Photo

Babaangu aliwahi nambia wengi waliotoka kwenye familia masikini then wakapata ngazi za uongozi au utajiri focus yao huwa kuwakandamiza wengine. Wanaona kwamba lazima kila mmoja lazima ateseke because inamuuma yeye kuwahi kuteseka peke yake. I see it everyday kwa watu wa hivyo.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Katika viumbe wanapata hela nyepesi ni watu maarufu(wanapiga simu tu kwa wanasiasa wanapewa hela) ndio maana wanaona wengine wavivu..Ndo maana wanakazwa pia lakini am sorry

91.2 Crooze FM (@912croozefm) 's Twitter Profile Photo

THE AWAKENING ON THE MORNING ADDICTION. Your thoughts? Retired General David Sejusa says cultural dignity is stopping Western Uganda girls from getting married and is causing the communitys numbers to go down. In a viral video, Sejusa said some parents ask for 16 cows and UGX

THE AWAKENING ON THE MORNING ADDICTION.

Your thoughts?

Retired General David Sejusa says cultural dignity is stopping Western Uganda girls from getting married and is causing the communitys numbers to go down. In a viral video, Sejusa said some parents ask for 16 cows and UGX
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Nimesoma na Wahindi na Waarabu pale Thaqaafa, tumemaliza form 4 wao hawakurudi shule tena, kifupi unamaliza form 6 yeye ana miaka 2 kwenye biashara, unamaliza chuo yeye ana miaka 5 kwenye biashara. By culture and way of life hatuwezi kufanana for generations

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Bro thinks huwa tunakula lawama. No, boy, we are working hard. And we need no validation from beneficiaries and/or enablers of our flawed leadership. You consume your privilege without necessarily demeaning others. Ng’ombe SIMBA..!🦁.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

He must recollect that the very people he now mocks are the ones that elevated him become who he is.. na kuna muda na Jalali🤲

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Kuwa maskini sio hali ambayo tumependa....😭 MUUNGWANA anashukuru MUNGU ila ukimdhihaki maskini kama hajui kutafuta unamtengenezea UKUNGU unaozidisha UCHUNGU , SADAKA NJEMA NI KUIKOMBOA JAMII