Mpoki Mwamukonda (@mpoki_m) 's Twitter Profile
Mpoki Mwamukonda

@mpoki_m

Geopolitical, social, economical and financial issues, with a primary focus on how they affect #Africa, and #Tanzania in particular.

ID: 46806492

calendar_today13-06-2009 02:31:36

6,6K Tweet

6,6K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Askofu Emmaus B Mwamakula (@emmausaskofu) 's Twitter Profile Photo

Sativa amelalamika kuwa anapata vitisho vya kutekwa tena. Endapo hatahakikishiwa usalama wake, sisi Askofu Mwamakula tutajenga hoja na kuijulisha jumuiya ya kimataifa kuwa maisha ya Sativa yako hatarini ili apatiwe hifadhi na nchi mojawapo maana Tanzania haitakuwa salama kwake.

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Ijumaa SSH kakutana na IGP na Makamishna wakubwa wote. J3 CDM wanasema wataandamana kupinga utekaji. Tanpol wamesambazwa kila kona ya Dar. It is my sincere hope J3 CDM wataandamana kwa amani na Tanpol hawatouwa. Wakiuwa watu watasema AMRI imetoka ijumaa, IKULU! What a mess!

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Polisi mkafanye kazi yenu ya kulinda raia na mali zao nasi vinginevyo. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Wizara ya Afya, mkaweke vituo vya huduma za dharura na gari za wagonjwa kwa ajili ya waandamanaji. Hatuhitaji kuwa na hofu kama tunawajibika. Muwe na J'pili njema Watanzania wenzangu.

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

I'm told they're coming for me any time now. If, & when, they do, I'll be ready. It'll be the 2nd time I'm arrested in about 2 months. It'll be the 10th time I'm held by the Tanzania police on false charges in 8 years. I survived 16 bullets; I'll survive the Dictatorship's jails!

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

“Ikitokea Viongozi wamekamatwa au labda Mbowe amepigwa risasi mniombee nilale kwa amani lakini msiache kusonga mbele. Tunafanya hivi kwa sababu kuna ndugu zetu na wazazi ambao hawajui watoto wao kama wapo hai au wamekufa” - Freeman Mbowe

“Ikitokea Viongozi wamekamatwa au labda Mbowe amepigwa risasi mniombee nilale kwa amani lakini msiache kusonga mbele. Tunafanya hivi kwa sababu kuna ndugu zetu na wazazi ambao hawajui watoto wao kama wapo hai au wamekufa” - <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a>
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Dear Deus Soka & Your Colleagues, Dear Mzee Ali MO Kibao, Dear Mbwana Kombo, Dear Ben Saanane, Dear Alphonce Mawazo, Dear MO Issa Simon, & all fallen/disappeared innocent souls; You're not forgotten. We're doing this for You; For God & Our Country. Sept 23 - #ZuiaUtekaji

Dear Deus Soka &amp; Your Colleagues,

Dear Mzee Ali MO Kibao,

Dear Mbwana Kombo,

Dear Ben Saanane,

Dear Alphonce Mawazo,

Dear MO Issa Simon,

&amp; all fallen/disappeared innocent souls;

You're not forgotten. We're doing this for You; For God &amp; Our Country. Sept 23 - #ZuiaUtekaji
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

chadema hawakufeli kwenye maandamano yao. wamefanikiwa kudhihirisha namna serikali isivyo jali uhai na maisha ya watu, na wamefanikiwa kutuma ujumbe huo bila ya kuwepo kwa umwagaji wowote wa damu.

Ali Kibao (@alikibao) 's Twitter Profile Photo

Kumbe serikali yetu ina uwezo mkubwa sana wa kuzuia jambo wasilolitaka lifanyike... Sasa tueleweje tukiona familia zetu zinatekwa na wengine kuuwawa kinyama kila siku?

Kumbe serikali yetu ina uwezo mkubwa sana wa kuzuia jambo wasilolitaka lifanyike... Sasa tueleweje tukiona familia zetu zinatekwa na wengine kuuwawa kinyama kila siku?
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

“Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha namna hii…” Hii ni kauli ya Saada Ramadhan Mwendwa mama mzazi wa Ramadhan Idd Shaaban (48) akianza kusimulia jinsi mwanaye alivyochukuliwa na watu

“Mwanangu ameuawa, kifo cha kikatili naomba haki itendeke waliofanya hivi wachunguzwe, ni kweli kifo kipo lakini sio cha namna hii…”

Hii ni kauli ya Saada Ramadhan Mwendwa mama mzazi wa Ramadhan Idd Shaaban (48) akianza kusimulia jinsi mwanaye alivyochukuliwa na watu
Salma Said (@zanzibariyetu) 's Twitter Profile Photo

*Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar* "Mpaka lini mauaji haya jamani?" mwananchi.co.tz/mw/zanzibar/an…

Mpoki Mwamukonda (@mpoki_m) 's Twitter Profile Photo

This will only serve as a catalyst for port automation, accelerating the extinction of the very jobs they’re trying to protect.

Holly Robinson Peete 💃🏾♍️ (@hollyrpeete) 's Twitter Profile Photo

Dear RJ💙 When you were three a developmental pediatrician diagnosed you with autism and told you all the things that you would NEVER do or be. One of the things that she said is that you would never have meaningful employment and all we heard was basically that your life

blue (@bluewmist) 's Twitter Profile Photo

During a mathematics course at Columbia University, a student fell asleep and woke up to the sound of his classmates talking. As the lesson ended, he noticed the lecturer had written two problems on the whiteboard. He assumed these were homework assignments, so he copied them