aloyce (@mpandana_aloyce) 's Twitter Profile
aloyce

@mpandana_aloyce

Hardwoker

ID: 603763988

calendar_today09-06-2012 17:12:31

8,8K Tweet

1,1K Takipรงi

3,3K Takip Edilen

Mnyawami (@jacksonmnyawam2) 's Twitter Profile Photo

Kwa yale yanayoendelea tusithubutu kujiita nchi yetu ni kisiwa cha amani Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Yuda Thadei Ruwa'ichi

Maulid Kitenge (@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwaichi amesema kwa yanayoendelea nchini kwasasa hatupaswi kujiita Kisiwa cha Amani โ€œTupende kushughulikia mambo yetu kwa msingi wa ukweli zaidi, msingi wa haki, msingi wa amani na msingi unaompendeza Mungu. Kusudi

Michael Jr Assenga (@assenga_online) 's Twitter Profile Photo

Kazi ULIOMBA WEWE na ukaipata, saivi badala ya kuamka mapema uende kazin unaanza kulalamika.. ooh kazi haina Maslai, mshahara mdogo..

WelBeast (@welbeast) 's Twitter Profile Photo

Liverpool spending โ‚ฌ150M on a 22 year old has the potential of ruining our chances for getting Sesko at the price we hoped for. Mudryk wasnโ€™t sold for โ‚ฌ100M because he was worth that, they asked for โ‚ฌ100M because someone was stupid enough to pay โ‚ฌ100 for Antony.

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa nasoma kitabu kinaitwa Your Brain on Porn cha Gary Wilsonโ€ฆ tangu hapo, hata simu yangu siiangalii kwa jicho lile lile. Na bado sijamaliza kusoma ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ THREAD ๐Ÿงต: ๐Ÿ‘‡

Nilikuwa nasoma kitabu kinaitwa Your Brain on Porn cha Gary Wilsonโ€ฆ tangu hapo, hata simu yangu siiangalii kwa jicho lile lile. 

Na bado sijamaliza kusoma ๐Ÿคฆโ€โ™€๏ธ

THREAD ๐Ÿงต: ๐Ÿ‘‡
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Mwaka 2012, Blandine Nyoni akiwa katibu mkuu wizara ya afya, alinukuliwa akitoa kauli tata ya kuwabeza madaktari kuwa "wanajiona bora wakati ni wachafu na hawajui kiingeleza"

Mwaka 2012,  Blandine Nyoni akiwa katibu mkuu wizara ya afya, alinukuliwa akitoa kauli tata ya kuwabeza madaktari kuwa "wanajiona bora wakati  ni wachafu na hawajui kiingeleza"
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Tuwapokee ila tuwakumbushe..! 1.Karibuni mtaani tufuge na kulima (anza kuwaza shughuli nje ya siasa) 2.Huku mtaani kuna maisha nje ya siasa na ni matamu na mazuri tu.(asikutishe mtu sababu ya siasa). 3.Tumieni viinua mgongo kwa maarifa na hekima kubwa. (huenda ndiyo pesa

Tuwapokee ila tuwakumbushe..!

1.Karibuni mtaani tufuge na kulima (anza kuwaza shughuli nje ya siasa)

2.Huku mtaani kuna maisha nje ya siasa na ni matamu na mazuri tu.(asikutishe mtu sababu ya siasa).

3.Tumieni viinua mgongo kwa maarifa na hekima kubwa. (huenda ndiyo pesa
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya FINANCIAL ADVISE? okay Anza kuishi kwa matumizi ya chini ya kipato chako. Jifunze kuweka akiba mapema, hata kama ni kidogo. Wekeza kwenye maarifa, jifunze kuhusu fedha, uwekezaji, na biashara. Epuka madeni yasiyo ya lazima, hasa ya anasa. Halafu, tafuta

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

"Ndugu zangu, leo nimekuja hapa kuwashukuru lakini pia kuwaaga najua wengi mtajiuliza, wengine walinipigia simu, Aida tunasikia unahama, Aida tunasikia umeenda CCM, Aida tunasikia sijui unaenda wapi? Leo Aida mwenyewe nipo hapa. Nataka niwaambie mpaka leo nazungumza na ninyi ni

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Device inayoitwa Gwaji** - DISCONNECTED. New device inayoitwa *w*mposa - NOW CONNECTED. Unatumika kama muwa, utamu ukiisha wanakutema wanachukua mwingine. Life linasonga. Ukibugi tu 2030 hiyo, wenye unifomu, rungu, na silaha wanahakikisha Kawe hakuna mtu anaenda. Lakini Yesu

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kuna kizazi tunaendelea kukitengeneza cha watu wanaochoshwa na upendo. Hiki ni kizazi kilichozaliwa na kizazi cha wazazi wasomi, wenye pesa, wasio na muda wa kupenda โ€”kupatikana kihisia, kuzungumza, kusikiliza, kuhusiana, kujali na kadhalika. Tunatumia vitu kuziba ombwe la

WelBeast (@welbeast) 's Twitter Profile Photo

Walked out of Sesko negotiations because they asked for โ‚ฌ90M. Canโ€™t close the Viktor Gyรถkeres deal because of a โ‚ฌ5M difference. Canโ€™t pay Eze release clause for โ‚ฌ77M. But you have โ‚ฌ60M to offer Chelsea for a player we can do without? Come on!!! Make it make sense.

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kulala usiku wa leo, weka simu pembeni kisha tumia dakika 15 ukiwa katika ukimya ukitafakari maisha yako. Baada ya hapo anza kusali, zungumza na MUNGU wako, mshukuru kwa zawadi ya afya na uhai na umuombe ayaongoze maisha yako daima na afanikishe mipango na ndoto zako.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

You know how much your daddy loves you my beloved son. Siku zote kumbuka zile 3G za baba (God, Gratitude, Growth). Daima muweke Mungu mbele (God). Kumbuka kuwa na moyo wa shukrani (Gratitude) na mwisho kuwa kila siku (Growth). Kua kiroho, kiakili na kimwili mwanangu. Nakupenda

You know how much your daddy loves you my beloved son. Siku zote kumbuka zile 3G za baba (God, Gratitude, Growth). Daima muweke Mungu mbele (God). Kumbuka kuwa na moyo wa shukrani (Gratitude) na mwisho kuwa kila siku (Growth). Kua kiroho, kiakili na kimwili mwanangu. Nakupenda
Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Pitisha kijana wako kwenye mkondo wa Certificate โžก๏ธ Diploma. Hakikisha anafanya kozi yenye vitendo ... mfano, upimaji ardhi, utaalamu wa umeme wa magari, automotive software engineering, machine tools, landscaping, oil and mining engineering Msisitizie ajibidiishe kufanya

Mwemezi Rwiza, PhD (@swahilibible) 's Twitter Profile Photo

Kozi nyingine - Health and Biomedical Instrumentation - Food Technologies - Radiation and Radiology Nikikumbuka nyingine nitashea

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Huyu Prof kabla hajajiunga na watawala watafuna nchi alikuwa na busara. Siku hizi kabadilika kawa nani vile? Msikilize anachokisema utajuwa na utabaini kuwa madaraka na fedha huaribu watu.