Mbise Frank (@mbise11) 's Twitter Profile
Mbise Frank

@mbise11

#Mshauri ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช| at MUHAS |Mental Health Advocate | e-mail: [email protected] | Guardian Unconditional Love Foundation ๐Ÿ’ซ | co-founder SHAMJOR Medics

ID: 918032251409129472

calendar_today11-10-2017 08:35:19

7,7K Tweet

2,2K Takipรงi

4,4K Takip Edilen

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Muda huu Wananchi wakimsindikiza makamu mwenyekiti wa Chadema Mh. John Heche baada ya kesi ya Mh. Tundu Lissu. #NoReformsNOElection

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Akisisitiza kuwa hakuna kutetereka wala kuogopa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche akiambatana na Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Tundu Lissu, amefurahia sana wingi wa wananchi

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Dunia haitanyamaza, kama mnakamata watu na kuwapa kesi za uongo mjue Dunia ni kijiji na haitakaa kimya. Mnaweza kutumia mabavu hapa ndani na kucontrol vyombo vya habari lakini wengine watasema na watu watajua uovu wenu. Asante STEPHEN LETOO

Medical Association of Tanzania (MAT) (@association_mat) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA YA KUPOTEA KWA DKT. HASHIM TITHO KILOSA Iwapo una taarifa yoyote kuhusu alipo, tafadhali wasiliana kupitia: 0745 151 930/ 0625 255 251/ 0784 437 530. Au toa taarifa katika kituo cha polisi cha karibu yako. Tafadhali sambaza ujumbe huu ili kusaidia juhudi za kumtafuta.

TAARIFA YA KUPOTEA KWA DKT. HASHIM TITHO KILOSA

Iwapo una taarifa yoyote kuhusu alipo, tafadhali wasiliana kupitia: 0745 151 930/ 0625 255 251/ 0784 437 530.

Au toa taarifa katika kituo cha polisi cha karibu yako.

Tafadhali sambaza ujumbe huu ili kusaidia juhudi za kumtafuta.
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Mambo ni mbaya sana Serengeti. Siyo kila chopa itashangiliwa. Chopa nyingine zitazomewa mbaya kabisa kama hivi.. ili chopa ishangiliwe, itategemea sana anayeshuka kwenye chopa ni nani... wananchi wa Serengeti wanasema #NoReformsNoElection na hawataki habari za miradi ya DOLA...

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Nilikuwa sijaona hii Video Mhe. Lissu kasema KIMEUMANAAAA Askari Magereza wakaanza kumlazimisha eti kusanya vitu vyako tuondoke. Angalia walivohamaki ila Mhe. Lissu kajua kuwanyooosha leo hawana hamu, kilanga chote kimewaisha.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

TICHA MANDEVU13 (@tichamandevu) 's Twitter Profile Photo

Updates Mpaka sasa JAPHET MATARRA amechangiwa TZS. 742,000, tumefikia nusu ya lengo la kupata TZS. 1.5M ili kuwezesha MATARRA afanyiwe matibabu ya Upasuaji kesho.!!! WASIOJULIKANA wamemvunja taya mara 2, Anapitia maumivu makali sana..!! Halopesa: 0627422184 Jina: SAMWELI MATARA.