Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. (@majiyabendera) 's Twitter Profile
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya.

@majiyabendera

💝 🌓2017|2023|
وَلَلْأَخِرَةُ خَيْرٌ لَّكَ مِنَ ٱلْأُولَى

ID: 528003206

linkhttps://majiyabendera.medium.com calendar_today18-03-2012 01:05:05

34,34K Tweet

135 Takipçi

8 Takip Edilen

Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. (@majiyabendera) 's Twitter Profile Photo

"Hata kama kweli umeumia, kutoweka na kumwacha mwenzio bila taarifa huo ni uchanga wa kihisia. Hupungukiwi kitu kumuaga mwenzako ajue ukurasa wenu umefungwa rasmi." 💔

Joseph Kalimbwe (@joseph_kalimbwe) 's Twitter Profile Photo

Angolan Oil struggles to find buyers because Indian Middlemen convinced our 15 SADC countries to believe Angolan oil is dirty for our cars. SADC spends $2 Billion monthly buying oil from Middle East. Arabs then beautify Dubai & Africans go there to wonder how Dubai is so nice !!!

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kukosea sana kwenye eneo moja la maisha na ukafanya vizuri sana kwenye maeneo mengine. Kosa moja lisikutie unyonge. Usigeuze kosa kuwa utambulisho wako. Unaweza kuwa na historia ya makosa, tena mabaya, na bado ukawa mtu mwingine tofauti kabisa. Historia ni shule sio

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Picha hazisemi maneno 1,000 kama zamani. Siku hizi picha zinatumika kuonesha tabasamu lisilokuwepo, furaha isiyokuwepo, mapenzi yasiyokuwepo, matumaini yasiyokuwepo, mipango isiyokuwepo na mafanikio yasiyokuwepo. Picha zinatumika kufunika umasikini, hofu, huzuni, majuto, hatia,

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Huwezi kutoa usichokuwanacho. Huwezi kuwapenda watu ikiwa wewe mwenyewe hukuwahi kujisikia kupendwa. Huwezi kusikiliza mtu ikiwa wewe mwenyewe hukuwahi kujisikia kusikilizwa. Huwezi kujifunza kumuelewa mtu ikiwa wewe mwenyewe hujawahi kujisikia kueleweka. Kinachotusumbua wengi

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kuna yale mahusiano yaliyoshikizwa na amani kiasi kwamba hakuna namna mnaweza kuzungumza chochote kisitibue mambo. Mahusiano yanakuwepo kwa vile umeamua usiwe ‘wewe’—usiseme hisia zako, usiseme mawazo yako, usidai haki zako wala chochote unachostahili, usiseme kuna kitu

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mara tu akishahisi unaelekea kumpenda, Nywele zinafumuka, Ngozi inapauka, Salio linakatika, Kodi ya chumba inahitajika, Kiu ya ‘wine’ inamshika, Hamu ya makange ya samaki inamshika, Mama anaumwa na Mjomba anameza shoka. Hujaitisha kikao cha kumfahamu, akose nauli. Hujamwambia

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Mahusiano yanayokua polepole, Mahusiano yasiyoanza na ‘mlipuko’ wa mapenzi, Mahusiano yasiyoharakisha ngono, Huwa na uwezekano mkubwa wa kudumu. Wapenzi wanaojipa muda kufahamiana, Wapenzi wasioharakisha ‘kuaminiana’, Wana uwezekano mkubwa wa kuoana, kuridhika na kudumu zaidi

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Hutaki kujifunza tabia mpya, Hutaki kusikiliza usichokiamini, Hutaki kuwajibikia makosa yako, Hutaki kukiri mapungufu yako, Unasingizia mapepo, Unasingizia vita vya rohoni, Unasingizia wachawi, Unasingizia historia. Utauziwa maji, Utauziwa mandazi, Utauziwa leso, Utauziwa

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unajihurumia sana. Unakwepa kujisikia aibu, unakwepa kujisikia hatia kwa tabia na maamuzi uliyoyafanya. Hutaki kujutia makosa. Unajihurumia sana. Unatafuta kuhusisha hali unayopitia na tabia za watu wengine. Unamkwepa kila anayekutazamisha ukweli. Unajihurumia sana. Hutaki

KABUGO (@kabugo_) 's Twitter Profile Photo

Village funerals expose it. The man with no job sits longer. Talks less. Splits the firewood. Eats quickly. Smiles alot. Leaves early. Unemployment teaches you how to disappear politely.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kwenye video hii, Iyanla Vanzant anaangazia namna matarajio makubwa kwa mwanamume mweusi, kupima uanaume wake kwa kipato chake na kile anachoweza kumfanyia mwanamke, kunavyochangia matatizo mengi yanayotweza utu wa mwanamume, kupuuza hisia zake, na kuathiri afya yake ya akili.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unatamani kupendwa lakini unaogopa kupokea upendo. Unatamani kumpenda lakini una hofu atakusaliti. Unataka umpende lakini unaogopa atakukataa. Unatamani uwe pekeyako lakini wakati huo huo unaogopa upweke. Unaogopa unachotaka na hufurahii unachopata. Haya ni mazingira

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Katika eneo la ujifunzaji, 2025 umenikutanisha na maarifa mengi kupitia waandishi mahiri. Ingawa nimesoma vitabu vingi (30+) kupitia Club mbalimbali za usomaji (Tusome na Uongozi Dodoma), hivi 12 vimenigusa zaidi kitaaluma, kiutendaji na kiuelewa. Ukisoma ninachokiandika, mara

Katika eneo la ujifunzaji, 2025 umenikutanisha na maarifa mengi kupitia waandishi mahiri. Ingawa nimesoma vitabu vingi (30+) kupitia Club mbalimbali za usomaji (Tusome na Uongozi Dodoma), hivi 12 vimenigusa zaidi kitaaluma, kiutendaji na kiuelewa. 

Ukisoma ninachokiandika, mara