TheFurryLover1961๐
@furryl1961
BlacKing๐
Spana Specialist, Ng'atu king'atu, Dare mE
ID: 3288253407
18-05-2015 12:05:06
11,11K Tweet
492 Takipรงi
250 Takip Edilen
. Wizara ya Afya Tanzania ๐น๐ฟ tujadiliane kidogo. Ramadhan Madabida akiwa Mwenyekiti wa CCM Dar es Salaam na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda Tanzania Pharmaceutical Industries Limited (TPI) kilichoko Njiro jijini Arusha, 10 Februari 2014 alikamatwa na kushtakiwa kwa kusambaza ARV bandia
Wanasambaza โbilioni mbiliโ kwa hao โcontent creatorsโ ili kuwasifia. Wamegundua hilo genge linalowachekesha ndiyo kundi bado mnalifuatilia. Raia wengi bado ni maskini wenye nafuu, ugumu wa maisha unawafanya watafute ucheshi kujiliwaza. Ni mkakati unaotakiwa kukataliwa. Wapuuzwe.