Dorah Peter
@dorah_peter
Daughter▪︎TwinSister▪︎Mother▪︎Wife▪︎ICTinstructor & TechLady
LEAVEaMARKwithIMPACT📌
Co-Founder of #eShangazi
#theONLY A.ISWAHILIChatbotinTZ
#SDGsChampion
ID: 881212315856777217
http://indexlabs.co.tz 01-07-2017 18:06:03
239 Tweet
205 Takipçi
338 Takip Edilen
Salama Zalhata Jabir Kuna kitu ni kama hakijakaa sawa mkuu 😂
Benki ya NMB Bank Plc imetambuliwa na kupokea tuzo tatu za kimataifa ambazo ni: 🏆 Benki Bora Tanzania 2023 (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney) 🏆 Benki Bora ya Wateja Maalum (Kutoka Tuzo za Umahiri za EuroMoney)👇
Mr. Battle TricyLove🦁 na Malkia Nyuki 👑 happy bday kwenu... Wa kwanza kureply aweke location cake ije... 🎉
Zaidi ya nusu ya Watanzania ni vijana (Sensa, 2022). Ni kundi kubwa kuliko mengine. Vijana ni nguvu kazi ya taifa na ni tegemeo kubwa katika kuchangia ukuaji wa uchumi. Ni vema kundi hili likatumika vizuri kwenye uzalishaji. UNDP Tanzania GlobalPeaceTanzania UNDP Africa #DumishaAmani