
barikimchome
@barikimchome1
Gynaecologist|Phd|MIGS enthusiast|Coordinator Cervical cancer screening-Kcmc
ID: 1227623360496054272
12-02-2020 16:00:15
35 Tweet
370 Takipçi
398 Takip Edilen


Nadhani ni wakati sasa wa watumishi wa umma kudai uhuru wa kuchagua mfuko wa bima ya afya. Tunachangia pesa nyingi sana kwa mwezi lakini kila siku hawa NHIF Tanzania wanakuja na masharti ya ajabu ajabu tu kwa wateja!



